JK: Acheni woga wa kusimamia sheria
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi nchini kuacha woga na ulegevu katika kusimamia sheria za kulinda mazingira na vyanzo vya maji ambavyo ni namna ya uhakika ya kuwawezesha wananchi kuendelea kupata...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji morogoro, awataka viongozi waache woga katika kusimamia sheria




11 years ago
Habarileo03 Oct
Kinana- Makada CCM acheni woga
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wanaCCM kuacha woga na unyonge kwani yeye ana uhakika kuwa chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kishindo katika nafasi zote.
10 years ago
Habarileo26 Dec
‘Watanzania acheni woga, tendeni haki’
VIONGOZI wa dini wamewataka Watanzania kutambua kuwa mwaka ujao wa 2015, ni mwaka uliojaa masuala mazito ya kitaifa, hivyo ni wajibu wao kushiriki kikamilifu, kuacha woga na kutenda haki.
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
‘Acheni kuwabembeleza wawekezaji wasiozingatia sheria za mazingira’
MAOFISA Mazingira katika Wilaya za mikoa ya Iringa na Mbeya wametakiwa kuacha kuwabembeleza wawekezaji wasiozingatia sheria za uhifadhi wa mazingira. Kauli hiyo, imetolewa na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya,...
10 years ago
StarTV22 Dec
CCM Mwanza waitaka Serikali kusimamia sheria
Na Abdalla Tilata, Mwanza.
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza imeitaka Serikali kusimamia sheria ili kuhakikisha kila mwananchi anapata uhuru wa kuchagua kiongozi anayemtaka katika chaguzi mbalimbali badala ya kushinikizwa.
Tamko hili la Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza limekuja ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na katika baadhi ya vituo wananchi kufanyiwa fujo na baadhi ya wafuasi wa vyama vya...
11 years ago
GPL
WASHAURI KUUNDWA SHERIA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA BAJETI
5 years ago
Habarileo16 Feb
Bodi yataka dola kusimamia sheria ya ujenzi
MWENYEKITI wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Ujenzi (AQRB), Dk Ambwene Mwakyusa amewaomba makamanda wa polisi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kusimamia Sheria Namba 4 ya Mwaka 2010 inayohusu masuala ya ujenzi.
5 years ago
MichuziOSHA YATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA NA KUELIMISHA WANANCHI
kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi ikiwemo kuelimisha wananchi kuhusu masuala ya Usalama na Afya kazini ili kupunguza ajali na magonjwa yanayoweza kutokea katika sehemu za kazi.
Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Bw. Andrew Massawe, alipotembelea ofisi za OSHA kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo mbali mbali ya...
11 years ago
Dewji Blog23 Oct
Waziri Ummy Mwalimu ataka halmashauri ya Kinondoni kusimamia sheria za Mazingira
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhandisi Mussa Natty(kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu wakati wa ziara ya kujifunza masuala ya usimamizi wa taka zinazozalishwa katika halmashauri hiyo.
Hussein Makame-MAELEZO
NAIBU Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu amewataka watendaji wa kata za halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kusimamia utekelezaji wa sheria na kanuni za kusimamia mazingira kwani kufanya hivyo watafanikiwa...