Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bodi yataka dola kusimamia sheria ya ujenzi

MWENYEKITI wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Ujenzi (AQRB), Dk Ambwene Mwakyusa amewaomba makamanda wa polisi wa mikoa ya Kanda ya Ziwa kusimamia Sheria Namba 4 ya Mwaka 2010 inayohusu masuala ya ujenzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BODI YA USAJILI WA MAJENGO NA UKADIRIAJI UJENZI YATAKA WATAALAM WATUMIKE IPASAVYO

Msajili wa Bodi ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Ujenzi nchini, Jahed A. Jahed (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wajumbe wa bodi. Picha ya pamoja ya wajumbe waliokuwa kwenye semina hiyo. BODI ya Usajili wa…

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Jumanne Sagini wakati akizungumza na watendaji mbalimbali wa ofisi hiyo leo katika mkutano wa kikazi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Karimjee jijini Dares Salaam , ambapo lengo kuu lilikuwa ni kutoa maelekezo ya utendaji kazi kama ilivyoagizwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Afya -TAMISEMI ,Dkt .Deo Mutasiwa .Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bodi ya ugavi yatakiwa kusimamia wanataaluma

BODI ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), imetakiwa kusimamia mienendo ya wanataaluma ili kuhakikisha kunakuwa na heshima na maadili ya fani na kazi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es...

 

9 years ago

StarTV

Bodi ya Maji Morogoro yaagizwa kusimamia utunzaji wa mazingira

Serikali imeitaka bodi ya maji ya bonde la Wami/Ruvu mkoani Morogoro kutunza kikamilifu vyanzo vya maji katika bonde hilo kwa kudhibiti uharibifu ambao unaweza kusababisha uhaba mkubwa wa maji kwenye mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.

Mikoa hiyo miwili inategemea kwa kiasi kikubwa kupata maji kupitia bonde la Wami/Ruvu ambalo limekuwa na vyanzo vingi kutoka mkoani Morogoro hivyo uharibu unaofanywa katika Milima ya Uluguru ni ishara tosha ya kupoteza vyanzo hivyo.

Mkoa wa Morogoro umejaliwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

JK: Acheni woga wa kusimamia sheria

RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi nchini kuacha woga na ulegevu katika kusimamia sheria za kulinda mazingira na vyanzo vya maji ambavyo ni namna ya uhakika ya kuwawezesha wananchi kuendelea kupata...

 

10 years ago

StarTV

CCM Mwanza waitaka Serikali kusimamia sheria

Na Abdalla Tilata, Mwanza.

 

Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza imeitaka Serikali kusimamia sheria ili kuhakikisha kila mwananchi anapata uhuru wa kuchagua kiongozi anayemtaka katika chaguzi mbalimbali badala ya kushinikizwa.

 

Tamko hili la Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mwanza limekuja ikiwa ni siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na katika baadhi ya vituo wananchi kufanyiwa fujo na baadhi ya wafuasi wa vyama vya...

 

5 years ago

Michuzi

OSHA YATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA NA KUELIMISHA WANANCHI

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetakiwa kuendelea
kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi ikiwemo kuelimisha wananchi kuhusu masuala ya Usalama na Afya kazini ili kupunguza ajali na magonjwa yanayoweza kutokea katika sehemu za kazi.

Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Bw. Andrew Massawe, alipotembelea ofisi za OSHA kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo mbali mbali ya...

 

11 years ago

GPL

WASHAURI KUUNDWA SHERIA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA BAJETI

Mmoja wa washiriki wa mjadala wa wazi akichangia mada. Mmoja wa washiriki akichangia mada kwenye mjadala wa wazi. Baadhi ya washiriki wa mjadala kutoka asasi anuai wakifuatilia mada. Baadhi ya washiriki wa mjadala kutoka asasi anuai wakifuatilia mada. Washiriki wa mjadala. Mwakilishi wa asasi ya Network for Vulnerables Rescue Foundation… ...

 

11 years ago

Habarileo

UN yataka sheria za misitu kusimamiwa

KAMATI ya Misitu Duniani (COFO) chini ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) imeshauri kutekelezwa kwa usimamizi wa sheria za misitu kuepuka uharibifu wa mazingira ambao unaendelea kuleta madhara makubwa kwa binadamu na viumbe hai.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani