Bodi ya Maji Morogoro yaagizwa kusimamia utunzaji wa mazingira
Serikali imeitaka bodi ya maji ya bonde la Wami/Ruvu mkoani Morogoro kutunza kikamilifu vyanzo vya maji katika bonde hilo kwa kudhibiti uharibifu ambao unaweza kusababisha uhaba mkubwa wa maji kwenye mikoa ya Dar es Salaam na Pwani.
Mikoa hiyo miwili inategemea kwa kiasi kikubwa kupata maji kupitia bonde la Wami/Ruvu ambalo limekuwa na vyanzo vingi kutoka mkoani Morogoro hivyo uharibu unaofanywa katika Milima ya Uluguru ni ishara tosha ya kupoteza vyanzo hivyo.
Mkoa wa Morogoro umejaliwa...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDK MAGUFULI AHAMIA MOROGORO KUSIMAMIA UJENZI DARAJA LA DUMILA LILILOSOMBWA NA MAJI
5 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziRais Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji morogoro, awataka viongozi waache woga katika kusimamia sheria
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakifunua pazia kuzindua mradi huoRais Jakaya Mrisho Kikwete na...
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...
10 years ago
StarTV03 Dec
Bodi ya PSPTB yaagizwa kutafuta ufumbuzi.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Wizara ya Fedha imeitaka Bodi ya Wataalam wa Manunuzi na Ugavi (PSPTB) kutafuta ufumbuzi wa tatizo la kufanya manunuzi bila kuzingatia thamani halisi ya fedha.
Wizara hiyo pia imewataka waajiri kuacha kuwaajiri watumishi ambao hawajasajiliwa na bodi hiyo kufanya shughuli za ununuzi na ugavi.
Akifungua Mkutano wa 5 wa bodi ya PSPTB jijini Arusha, Naibu Waziri wa Fedha Adam Kighoma Malima ameiagiza bodi hiyo kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo kutokana na kila...
11 years ago
MichuziTBL YAPATA TUZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NCHINI
10 years ago
GPLBODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA
10 years ago
Michuzi30 Aug
Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda
Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...
5 years ago
MichuziAWESO AMWEKA NDANI MKANDARASI WA MAJI MKINGA KUSHINDWA KUSIMAMIA MRADI WA MAJI MBUTA
NAIBU Waziri wa Maji Juma Aweso katika akiwa na Mbunge wa Jimbo la Mkinga (CCM) Dastani Kitandula kulia na Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yona wakitoka kukagua moja ya miradi ya maji inayotekelezwa wilayani humo
NAIBU Waziri wa Maji Jumaa Aweso kulia akiteta jamboi na Diwani wa Kata Mwakijembe kushoto kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yonna
Mhandisi wa Wakala wa Maji Vijiji (Ruwasa) wilaya ya Mkinga Castory Keneth katika akiwa chini ya ulinzi wa askari kufuatia Naibu Waziri wa Maji...