OSHA YATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA NA KUELIMISHA WANANCHI
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetakiwa kuendelea
kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi ikiwemo kuelimisha wananchi kuhusu masuala ya Usalama na Afya kazini ili kupunguza ajali na magonjwa yanayoweza kutokea katika sehemu za kazi.
Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Bw. Andrew Massawe, alipotembelea ofisi za OSHA kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo mbali mbali ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Bodi ya ugavi yatakiwa kusimamia wanataaluma
BODI ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), imetakiwa kusimamia mienendo ya wanataaluma ili kuhakikisha kunakuwa na heshima na maadili ya fani na kazi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es...
5 years ago
MichuziOSHA, WENYE VIWANDA WAJADILI UTEKELEZAJI WA SHERIA YA AFYA NA USALAMA KAZINI
Ujumbe huo wa viongozi kutoka CTI ambao ulijumuisha baadhi ya wawakilishi wa wanachama wa CTI uliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa shirikisho hilo, Bw. Leodgar Tenga.Akizungumza baada ya kuhitimisha kikao hicho, Tenga amesema madhumuni ya kikao yalikuwa ni...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-oJJvHj8esH0/Vefkz60GVEI/AAAAAAAB7ho/Vze8fqIUQIw/s72-c/B%2B1.jpg)
MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-oJJvHj8esH0/Vefkz60GVEI/AAAAAAAB7ho/Vze8fqIUQIw/s640/B%2B1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-C0duY4JJhHY/Vefk2dvIzrI/AAAAAAAB7h0/su2ItL2aNQ0/s640/B%2B2.jpg)
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Serikali yatakiwa kusimamia gesi kwa maendeleo ya taifa
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imeshauriwa kuwekeza mapato ya rasilimali zake hususan mafuta na gesi ili kuleta maendeleo endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.
Vile vile imetakiwa kuhaikisha matumizi ya ndani kwenda sambamba na mapato hayo ikiwemo kuongeza tija katika matumizi ya sekta za umma katika ngazi zote.
Mkurugenzi wa kampuni ya Pan African Energy, Patrick Rutabanzibwa, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana kwenye mkutano wa kujadili mikakati ya kuhakikisha rasilimali...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7N9ELH5rsMI/Vefi1FIP0OI/AAAAAAAH1_k/Q_GaX0RAn-E/s72-c/unnamed%2B%252851%2529.jpg)
MABUNGE YATAKIWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MALENGO MAPYA YA MAENDELEO ENDELEVU
10 years ago
StarTV23 Feb
CCM Dar yawataka wabunge wake kuelimisha wananchi
Na Grace Semfuko,
Dar es Salaam.
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam kimewataka wabunge wa Mkoa huo kupitia CCM kutoa elimu kwa wakazi wake kuhusiana na masuala ya kijamii yaliyomo kwenye Katiba inayopendekezwa ili wakazi hao waweze kuipigia kura bila kuwa na kikwazo chochote.
Katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar Es Salaam wajumbe wake wamesema hatua hiyo itawawezesha wakazi wengi kuipigia kura Katiba hiyo ili hatimaye iweze kupita na kutumika kama Katiba mama ya...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Sheria ya wazee yatakiwa haraka
SERIKALI imeshauriwa kufanya haraka kutunga Sheria ya wazee ili kuwawezesha wazee kupata haki zao za msingi.
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
JK: Acheni woga wa kusimamia sheria
RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi nchini kuacha woga na ulegevu katika kusimamia sheria za kulinda mazingira na vyanzo vya maji ambavyo ni namna ya uhakika ya kuwawezesha wananchi kuendelea kupata...
9 years ago
StarTV31 Dec
Serikali yatakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi
Serikali imetakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi pamoja na kuweka kipaumbele utoaji wa zabuni kwa viwanda vya ndani kwa nia ya kuvilinda na kuongeza ustawi wa sekta ya viwanda Ili kuendeleza viwanda vilivyopo hapa nchini.
Sambamba na hilo serikali imetakiwa kuzuia uingizaji holela wa bidhaa kutoka nje ya nchi ili kutoa nafasi kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.
Wakizungumza katika kiwanda cha utengenezaji wa transforma cha TANELEC kilichopo katika eneo la viwanda, njiro jijini...