Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya wazee yatakiwa haraka

SERIKALI imeshauriwa kufanya haraka kutunga Sheria ya wazee ili kuwawezesha wazee kupata haki zao za msingi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Suluhu yatakiwa haraka kuhusu wahamiaji

Waziri mkuu wa Italia Matteo Renzi ametoa wito wa kufanyika kikao cha dharura cha Umoja wa Ulaya kujadili swala la wahamiaji

 

10 years ago

Michuzi

wazee wa bodaboda na haraka zao barabarani

Huu utaratibu wa hawa waendesha pikipiki kutofuata taratibu katika mataa ya kuongozea magari na vyombo hivyo,umekuwa ukishika kasi siku hadi siku.hapa huyu mwendesha pikipiki akiwa na abiria wake wakijaribu kuikwepa basi iliyokuwa ikipita kwa kwenye mataa hayo baada kuruhusiwa,hali hii imekuwa ni kero kubwa hapa jijini Dar.hii imetokea mchana huu kwenye Mataa ya Buguruni Sheli.Huyu nae bila kujali kuwa amewapakia abiria zaidi ya wawili nae kaingia barabarani kwa haraka zake na kuendelea na...

 

9 years ago

StarTV

Serikali yatakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi

Serikali imetakiwa kurekebisha sheria  ya manunuzi pamoja na kuweka kipaumbele utoaji wa zabuni kwa  viwanda vya ndani kwa nia ya kuvilinda na kuongeza ustawi wa sekta ya viwanda Ili kuendeleza viwanda vilivyopo hapa nchini.

Sambamba na hilo serikali imetakiwa kuzuia  uingizaji holela wa bidhaa kutoka nje ya nchi ili kutoa nafasi kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.

Wakizungumza katika kiwanda cha utengenezaji  wa transforma  cha TANELEC  kilichopo katika eneo la viwanda, njiro jijini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Misaada:Nepal yatakiwa kulegeza sheria

UN umeishauri serikali ya Nepal kulegeza vizuizi vya ushuru ambavyo vinatatiza utoaji wa misaada kwa waathiriwa wa tetemeko la ardhi

 

5 years ago

Michuzi

OSHA YATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA NA KUELIMISHA WANANCHI

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetakiwa kuendelea
kusimamia utekelezaji wa Sheria ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi ikiwemo kuelimisha wananchi kuhusu masuala ya Usalama na Afya kazini ili kupunguza ajali na magonjwa yanayoweza kutokea katika sehemu za kazi.

Agizo hilo limetolewa na Katibu Mkuu katika Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Bw. Andrew Massawe, alipotembelea ofisi za OSHA kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo mbali mbali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA TUNAOMBA HARAKA MKONDO WA SHERIA UFANYE KAZI ZAKE

VIGOGO WALIOPATA MGAO WA TAGETA ESCROW LINI WATAJIUZULU ?Watanzania tunaomba sherehe za vigogo watuhumiwa zifikike mwisho

Ni mategemeo yetu watanzania wengi kuwa vigogo waliohusika kwa namna moja au nyingine katika sakata la fedha za Tageta Escrow kuwa wanajiuzulu nafasi zao
na mkondo wa sheria uwashughulikie haraka kwani hakuna aliye juu ya sheria watanzania wote tupo chini ya sheria.

Vigogo hawa wazito wanahusika kupokea mgao wa fedha za wavuja jasho wa nchi hii lazima washughulikiwe na...

 

9 years ago

Mwananchi

Wabunge wataka sheria kuitambua Dodoma ijadiliwe bungeni haraka

Wabunge wa Mkoa wa Dodoma wameanza mkakati wa pamoja kuhakikisha sheria ya kuitambua Dodoma kuwa ni makao makuu ya Serikali inawasilishwa katika Bunge.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: UNATAKA KUFANYA TRANSFER (KUBADILI JINA) LA KIWANJA/NYUMBA, UTARATIBU WA HARAKA NI HUU

Na  Bashir  Yakub.
Watu wengi wamenunua viwanja/nyumba  lakini mali hizo zimeendelea  kubaki katika  majina  ya waliowauzia. Wapo ambao  imepita  hata  miaka  kumi  tangu wanunue  maeneo   lakini  bado  hawajabadili  jina kuingia  jina  lake. Zipo sababu  nyingi  zinazosababisha  hali hiyo  lakini  moja  ni  watu  kutokujua  umuhimu  wa kubadili  jina  kwa haraka. 
Hapa sizungumzii  tu  kubadili jina  isipokuwa nazungumzia  kubadili  jina  kwa haraka. Kupitia  makala  haya  napenda  kuwaamsha...

 

9 years ago

StarTV

Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya

Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.

Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.

 Naibu Mkurugenzi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani