Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana- Makada CCM acheni woga

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wanaCCM kuacha woga na unyonge kwani yeye ana uhakika kuwa chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kishindo katika nafasi zote.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

JK: Acheni woga wa kusimamia sheria

RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi nchini kuacha woga na ulegevu katika kusimamia sheria za kulinda mazingira na vyanzo vya maji ambavyo ni namna ya uhakika ya kuwawezesha wananchi kuendelea kupata...

 

10 years ago

Habarileo

‘Watanzania acheni woga, tendeni haki’

Waumini wa Kanisa la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakitoka kanisani kuhudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi iliyofanyika kitaifa kanisani hapo jana. (Picha na Fadhili Akida).VIONGOZI wa dini wamewataka Watanzania kutambua kuwa mwaka ujao wa 2015, ni mwaka uliojaa masuala mazito ya kitaifa, hivyo ni wajibu wao kushiriki kikamilifu, kuacha woga na kutenda haki.

 

5 years ago

BBCSwahili

Makada waandamizi Makamba, Kinana ‘waitikia wito’ licha ya uvumi wa kuikacha CCM

Makada hao hawakutokea Dodoma Juma lilopita na kuzusha gumzo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM acheni kupiga mayowe, acheni wananchi waamue

MAPENDEKEZO ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba inayoongozwa na  Jaji Joseph Warioba, yanaonekana kuwatia kiwewe baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopo visiwani Zanzibar. Ukizisikiliza kauli zao juu...

 

11 years ago

Michuzi

NYANGWINE KUWASHITAKI KWA KINANA MAKADA WANAOMHUJUMU JIMBONI


VURUGU na kampeni chafu zinazofanywa na baadhi ya makada wa CCM wanaojipanga kuwania ubunge katika jimbo la Tarime, zimechukua sura mpya.
Hatua hiyo imetokana na mbunge wa jimbo hilo Nyambari Nyangwine (pichani), kuweka bayana kuwa atawasilisha malalamiko kwa uongozi wa CCM ngazi ya wilaya, mkoa na taifa.
Juzi, baadhi ya wanachama wa CCM wilayani Tarime, walilalamikia kampeni chafu  zinazofanywa na baadhi makada na kusababisha makundi ambayo ni hatari kwa Chama.
Hata hivyo, baadhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wana CCM watakiwa kuacha woga

MUASISI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Leo Lwekamwa, ameibuka na kutoa maoni yake kuhusu muundo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasimu ya pili ya Katiba, kwa kuwataka wanachama wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi acheni fitina, leteni maendeleo-Kinana

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewashukia viongozi wa chama hicho wilayani hapa na kuwaelezea kuwa ndio chanzo cha kushuka kwa kasi ya maendeleo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kinana: Acheni kubadili viongozi kama mashati

WANANCHI wametakiwa kuachana na tabia ya kubadilisha viongozi kama mashati, hata pale inapobainika kuwa ni kiongozi mtendaji. Wito huo ulitolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana,...

 

10 years ago

Mwananchi

Makada CCM wamvaa JK

Makada wawili wa CCM wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu, anaondoa makundi ndani ya chama hicho, ambacho kinakabiliwa na kazi ngumu ya kumpata mgombea wake bila ya kutokea mpasuko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani