Makada waandamizi Makamba, Kinana ‘waitikia wito’ licha ya uvumi wa kuikacha CCM
Makada hao hawakutokea Dodoma Juma lilopita na kuzusha gumzo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 Oct
Kinana- Makada CCM acheni woga
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wanaCCM kuacha woga na unyonge kwani yeye ana uhakika kuwa chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kishindo katika nafasi zote.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-GM0U-Fq-kHY/XlkM8IW0lJI/AAAAAAACH8Y/2yl5WskW6Ok62Ww5O31cpn6jN-bIkOtOgCLcBGAsYHQ/s72-c/kinana%2Bmembe%2Bmakamba.jpg)
CCM YAMVUA UANACHAMA MEMBE, KINANA YAMPA KARIPIO, YAMSAMEHE MZEE MAKAMBA
![](https://1.bp.blogspot.com/-GM0U-Fq-kHY/XlkM8IW0lJI/AAAAAAACH8Y/2yl5WskW6Ok62Ww5O31cpn6jN-bIkOtOgCLcBGAsYHQ/s320/kinana%2Bmembe%2Bmakamba.jpg)
NA BASHIR NKOROMO, Dar es Salaam
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemvua uanachama Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje Bernard Membe huku Katibu Mkuu mstaafu Abdulrahman Kinana akipewa karipio na kutakiwa kutogombea nafasi yoyote ndani ya chama kwa miezi 18 na Katibu Mkuu mwingine mstaafu Yusuf Makamba akisamehewa.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-esbi6gGa_9k/XkghNxY0xyI/AAAAAAACHqI/L64D059JACU0vLTA0XLRgQ_Xo1vQHdJTgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200215_194650_953.jpg)
5 years ago
CCM BlogKAMATI KUU YA CCM YAIPA SIKU SABA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI NA NIDHAMU KUKAMILISHA NA KUWASILISHA KWENYE VIKAO HUSIKA TAARIFA ZA KINA KINANA, MAKAMBA NA MEMBE
Na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
11 years ago
Michuzi09 Apr
NYANGWINE KUWASHITAKI KWA KINANA MAKADA WANAOMHUJUMU JIMBONI
VURUGU na kampeni chafu zinazofanywa na baadhi ya makada wa CCM wanaojipanga kuwania ubunge katika jimbo la Tarime, zimechukua sura mpya.
Hatua hiyo imetokana na mbunge wa jimbo hilo Nyambari Nyangwine (pichani), kuweka bayana kuwa atawasilisha malalamiko kwa uongozi wa CCM ngazi ya wilaya, mkoa na taifa.
Juzi, baadhi ya wanachama wa CCM wilayani Tarime, walilalamikia kampeni chafu zinazofanywa na baadhi makada na kusababisha makundi ambayo ni hatari kwa Chama.
Hata hivyo, baadhi...
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Makada CCM wamvaa JK
10 years ago
Habarileo11 Aug
Bilal apuuza uvumi wa kuihama CCM
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amekanusha taarifa za uzushi ziliposambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa anakihama Chama Cha Mapinduzi (CCM).
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
CCM yawasulubu makada wake
KAMATI ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imewasulubu makada wake watatu miongoni mwa sita ambao wanatuhumiwa kwenda kinyume cha maadili ya chama hicho tawala. Makada hao ambao baadhi yao...
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Makada CCM wamgwaya Pinda
![Waziri Mkuu Mizengo Pinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/Waziri-Mkuu-Mizengo-Pinda.jpg)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SIKU moja baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza nia ya kujitosa kuwani urais katika Uchaguzi Mkuu 2015, baadhi ya wanachama wa CCM na wasomi wamekuwa na maoni tofauti.
Hali hiyo imekuwa tofauti ambapo Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, alishindwa kueleza kwa undani kauli hiyo ya Pinda huku akisema hawezi kuzungumza jambo lolote kwa sasa hadi pale atakapomaliza vikao vya chama.
Akizungumza na MTANZANIA jana kwa njia...