Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana: Acheni kubadili viongozi kama mashati

WANANCHI wametakiwa kuachana na tabia ya kubadilisha viongozi kama mashati, hata pale inapobainika kuwa ni kiongozi mtendaji. Wito huo ulitolewa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahaman Kinana,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Viongozi acheni fitina, leteni maendeleo-Kinana

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewashukia viongozi wa chama hicho wilayani hapa na kuwaelezea kuwa ndio chanzo cha kushuka kwa kasi ya maendeleo.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana- Makada CCM acheni woga

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka wanaCCM kuacha woga na unyonge kwani yeye ana uhakika kuwa chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa 2015 kwa kishindo katika nafasi zote.

 

11 years ago

Habarileo

‘Viongozi wa vyama acheni malumbano’

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini, wametakiwa kuacha malumbano ndani ya vyama vyao hali inayoathiri jamii hususani taasisi za dini. Hayo yalisemwa jana na Kiongozi wa baraza la mashehe wilaya ya Arumeru, Haruna Husein wakati akizungumza katika kongamano la kuchangia fedha kwa ajili ya Radio Umoja FM lililofanyika mjini hapa.

 

10 years ago

Habarileo

JK- Viongozi acheni udalali wa ardhi

RAIS Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.

 

10 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni siasa'

KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Hatuwezi kuadabisha viongozi bila kubadili chama!

NAJUA kwa wengi ni vigumu kukubali hili. Lakini ukweli mtupu ni kwamba kama tunataka mabadiliko ya kweli  tunahitaji kubadili  mfumo mzima wa  uongozi wa nchi yetu kupitia sanduku la kura. ...

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi CCM acheni kuwaza urais'

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar wametakiwa kuacha kuwaza kinyang’anyiro cha urais mwakani badala yake waelekeze nguvu zaidi katika kazi ya kutafuta wapiga kura wapya kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUCTA: Viongozi acheni uchu wa madaraka

VIONGOZI ndani ya serikali wa taasisi mbalimbali wametakiwa kuacha uchu wa madaraka, badala yake wajifunze kwa waasisi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Shirikisho la Vyama...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Viongozi wa dini acheni kuwatembeza wanasiasa’

Viongozi wa dini wametakiwa kuepuka kutumiwa kama wafanyabiashara wa kuwauza wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, hasa urais.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani