Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK- Viongozi acheni udalali wa ardhi

RAIS Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RC GAMA AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwa bungeni dhidi yake.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali ya habari mkoani Kilimanjaro.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

SIKU moja baada ya kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kumlipua mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama kwa madai ya kufanya udalali na ufisadi katika uporaji wa ardhi ya wananchi ,mkuu huyo amejitokeza
mbele ya wanahabari na kukanusha tuhuma...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwa bungeni dhidi yake.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga katika mkutano huo na wanahabari.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali ya habari mkoani Kilimanjaro.

Na Dixon Busagaga
SIKU moja baada ya kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kumlipua mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama kwa madai ya kufanya udalali na ufisadi katika uporaji...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: WENYEVITI WA VIJIJI ACHENI BIASHARA YA ARDHI


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya tabia ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji wanaofanya biashara ya ardhi waache na badala yake amewataka wajihusishe katika kutekeleza majukumu yao ya msingi.

Ameyasema leo(Jumatano, Machi 4, 2020) wakati akizungumza na wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Bokwa wilayani Kilindi akiwa kwenye ziara yake ya kikazi mkoani Tanga.

Waziri Mkuu amesema tabia ya baadhi ya wenyeviti wa vijiji kujihusisha na biashara ya uuzaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni siasa'

KAMANDA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, Philemon Mollel amewataka viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuacha kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa badala yake wahubiri amani.

 

11 years ago

Habarileo

‘Viongozi wa vyama acheni malumbano’

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini, wametakiwa kuacha malumbano ndani ya vyama vyao hali inayoathiri jamii hususani taasisi za dini. Hayo yalisemwa jana na Kiongozi wa baraza la mashehe wilaya ya Arumeru, Haruna Husein wakati akizungumza katika kongamano la kuchangia fedha kwa ajili ya Radio Umoja FM lililofanyika mjini hapa.

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZA ARDHI ZILIZOIBULIWA BUNGENI HIVI KARIBUNI

Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo na Makazi,Angela Kairuki akiongozana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama wakati alipowasili Kilimanaro kwa ajili ya tuhuma dhidi ya mkuu huyo wa mkoa pamoja na migogoro ya ardhi.Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama katika mkutano huo. Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akizungumza katika mkutano huo uliowashirikisha...

 

10 years ago

Vijimambo

NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZA ARDHI ZILIZOIBULIWA BUNGENI HII KARIBUNI.

Naibu waziri a Ardhi ,Nyumbana Maendeleo na Makazi,Angela Kairuki akiongozana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama wakati  alipowasili Kilimanaro kwa ajili ya tuhuma dhidi ya mkuu huyo wa mkoa pamoja na migogoro ya ardhi.Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama katika mkutano huo.Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akizungumza katika mkutano huo uliowashirikisha wakuu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TUCTA: Viongozi acheni uchu wa madaraka

VIONGOZI ndani ya serikali wa taasisi mbalimbali wametakiwa kuacha uchu wa madaraka, badala yake wajifunze kwa waasisi wa taifa la Tanzania. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu wa Shirikisho la Vyama...

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi CCM acheni kuwaza urais'

VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Zanzibar wametakiwa kuacha kuwaza kinyang’anyiro cha urais mwakani badala yake waelekeze nguvu zaidi katika kazi ya kutafuta wapiga kura wapya kuhakikisha chama hicho kinashinda uchaguzi mkuu ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani