RC GAMA AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwa bungeni dhidi yake.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali ya habari mkoani Kilimanjaro.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
SIKU moja baada ya kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kumlipua mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama kwa madai ya kufanya udalali na ufisadi katika uporaji wa ardhi ya wananchi ,mkuu huyo amejitokeza
mbele ya wanahabari na kukanusha tuhuma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI
Na Dixon Busagaga
SIKU moja baada ya kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kumlipua mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama kwa madai ya kufanya udalali na ufisadi katika uporaji...
10 years ago
Habarileo30 Aug
JK- Viongozi acheni udalali wa ardhi
RAIS Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Justin Bieber akana madai ya ubakaji anayodaiwa kufanya mwaka 2014
10 years ago
Dewji Blog05 Dec
Wahitimu 130 wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), watunukiwa tuzo kwa kufanya vizuri kwenye masomo
Onesmo Charles ambaye ni mmoja wa wanafunzi 130 waliofanya vizuri katika masomo katika Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), akijaribu kifaa cha kisasa cha kupimia ardhi, viwanja na ramani za nyumba alichozawadiwa Kampuni ya Hightech Systems (T) Limited katika hafla ya kuwakabidhi zawadi na tuzo wanafunzi hao bora iliyofanyika katika chuo hicho leo ikiwa ni sehemu ya mahafali ya nane ya chuo hicho yatakayofikia kilele kesho kutwa Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam.
![](http://1.bp.blogspot.com/-_4HrcjA_NL0/VICM-xiwLmI/AAAAAAAAw6w/No_oLTrixks/s1600/02%2BOnesmo%2BCharles.jpg)
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0W9xQ3MjT7A/XkaBVX3z8RI/AAAAAAALdWY/moqTFGs3_m0MhfOyYXgMhc9ye4pBNQgOgCLcBGAsYHQ/s72-c/PIX-1-11-1024x683.jpg)
MASAUNI ATEMBELEA CHUO CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI CHOGO NA KUFANYA MKUTANO NA WAKIMBIZI RAIA WANAOLALAMIKIA KUPORWA ARDHI
![](https://1.bp.blogspot.com/-0W9xQ3MjT7A/XkaBVX3z8RI/AAAAAAALdWY/moqTFGs3_m0MhfOyYXgMhc9ye4pBNQgOgCLcBGAsYHQ/s640/PIX-1-11-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/PIX-2A-1024x682.jpg)
10 years ago
Habarileo21 Nov
Azzan aziumbua kampuni za udalali
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki ameagizwa kusimamisha mara moja kazi inayofanywa na kampuni za udalali ya kukamata magari yanayodaiwa kukiuka sheria barabarani, badala ya kutekeleza jukumu walilopewa la kuondoa gereji bubu mitaani na barabarani.
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
UONGOZI WA TANZANIA: Udalali, ukuwadi na ujinga
ILI Tanzania iendelee, pamoja na mambo mengine, inahitaji uongozi bora (Mwalimu Nyerere, 1992). Hata hivyo, Tanzania imekwama kwenye uongozi! Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake umeshindwa kujenga...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Lankii kutoka udalali hadi ujasiriamali wa kimataifa
UJASIRIAMALI una maana pana, miongoni mwa hizo ni kuwa na hamasa kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika uchumi. Pia katika hali nyingine mjasiriamali anaweza kuwa mtu yeyote anayejishughulisha katika sekta...