Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azzan aziumbua kampuni za udalali

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki ameagizwa kusimamisha mara moja kazi inayofanywa na kampuni za udalali ya kukamata magari yanayodaiwa kukiuka sheria barabarani, badala ya kutekeleza jukumu walilopewa la kuondoa gereji bubu mitaani na barabarani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kampuni za udalali zazuiwa kukamata magari Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki(pichani) ameiagiza Halmashauri ya jiji hilo kuchukua hatua za haraka, kuziondoa kampuni zote udalali zinazokamata magari yanayovunja sheria za maegesho jijini humo.

 

10 years ago

Habarileo

JK- Viongozi acheni udalali wa ardhi

RAIS Jakaya Kikwete amewaonya viongozi wa ngazi mbalimbali nchini, wakiwemo wa Halmashauri kuacha mara moja tabia ya kujigeuza kuwa madalali wa kuuza mapori ya ardhi, bali wazingatie suala la umuhimu wa kuweka akiba kwa ajili ya vizazi vijavyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UONGOZI WA TANZANIA: Udalali, ukuwadi na ujinga

ILI Tanzania iendelee, pamoja na mambo mengine, inahitaji uongozi bora (Mwalimu Nyerere, 1992). Hata hivyo, Tanzania imekwama kwenye uongozi! Uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake umeshindwa kujenga...

 

10 years ago

Michuzi

RC GAMA AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwa bungeni dhidi yake.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali ya habari mkoani Kilimanjaro.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

SIKU moja baada ya kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kumlipua mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama kwa madai ya kufanya udalali na ufisadi katika uporaji wa ardhi ya wananchi ,mkuu huyo amejitokeza
mbele ya wanahabari na kukanusha tuhuma...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lankii kutoka udalali hadi ujasiriamali wa kimataifa

UJASIRIAMALI una maana pana, miongoni mwa hizo ni kuwa na hamasa kubwa ya kuleta mabadiliko chanya katika uchumi. Pia katika hali nyingine mjasiriamali anaweza kuwa mtu yeyote anayejishughulisha katika sekta...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AKANA KUFANYA UDALALI WA ARDHI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akizungumza na wanahabari (hawako pichani) juu ya tuhuma zilizoibuliwa bungeni dhidi yake.Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiwa na mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga katika mkutano huo na wanahabari.
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali ya habari mkoani Kilimanjaro.

Na Dixon Busagaga
SIKU moja baada ya kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kumlipua mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama kwa madai ya kufanya udalali na ufisadi katika uporaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Wamachinga wamgeuka Azzan Zungu

>Uongozi wa soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga Complex) umesikitishwa na kauli ya Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu dhidi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe kuwa yeye ndiyo chanzo cha vurugu za wamachinga.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa mbunge Idd Azzan

Halmashauri ya Kinondoni ilibomoa makazi ya watu waliokuwa wakiishi Magomeni Kota kwa madai ya kuanzisha miradi lakini ni zaidi ya miaka minne hakuna kilichofanyika, kwa nini waliwasumbua watu?

 

10 years ago

GPL

IDD AZZAN ASHTUSHWA KUPIGWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA

Mbunge wa Kinondoni, Idd Mohamed Azzan. Stori: OSCAR NDAUKA
KUMEKUCHA sasa! Mbunge wa Kinondoni kwa ‘leseni’ ya chama tawala (CCM), Idd Mohamed Azzan ameibuka na kusema kuwa ameshangazwa na habari zilizotangazwa na kituo kimoja cha runinga nchini kwamba amesema mwaka huu hataweka mguu wake kugombea ubunge wa jimbo hilo. Akizungumza na Uwazi ‘Mizengwe ya Uchaguzi’ jijini Dar hivi karibuni, mheshimiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani