Kampuni za udalali zazuiwa kukamata magari Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki(pichani) ameiagiza Halmashauri ya jiji hilo kuchukua hatua za haraka, kuziondoa kampuni zote udalali zinazokamata magari yanayovunja sheria za maegesho jijini humo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Nov
Azzan aziumbua kampuni za udalali
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki ameagizwa kusimamisha mara moja kazi inayofanywa na kampuni za udalali ya kukamata magari yanayodaiwa kukiuka sheria barabarani, badala ya kutekeleza jukumu walilopewa la kuondoa gereji bubu mitaani na barabarani.
10 years ago
Dewji Blog16 Sep
Halmashauri Manispaa ya Ilala yapiga marufuku Jeshi la Polisi na Tambaza Action Mart kukamata magari ya tani 3
Meya wa Manispaa ya Ilala Bw. Jerry Silaa akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani (hawapo pichani).
Tamko la Manispaa ya Ilala
Halmashauri ya manispaa ya Ilala kupitia kikao chake cha Baraza cha tarehe 12/9/2014 imepiga marufuku vitendo vinavyofanywa na halmashauri ya jiji la Dar es salaam na mawakala wake wa Tambaza auction mart na askari wa jeshi la polisi kuwakamata wananchi wenye magari ya mizigo ya chini ya tani tatu na robo na kuwakatia vibali vya shilingi 500,000 kwa mwaka kinyume cha...
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Jeshi la polisi nchini lashiriki kuzindua magari mapya ya kampuni ya ulinzi ya Security Group Afrika Jijini Dar
Mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafu Philimon Mgaya akikata utepe wa kuashiria kuzindua magari mapya zaidi ya ishirini ya kampuni ya ulinzi ya Security Group Africa ambayo yataanza kutumika katika kazi mbalimbali za kampuni hiyo hivi karibuni.Katikati yao ni mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Eric Sambu.
Mwakilishi wa Mkuu wa jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akipokea msaada wa...
10 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI UZINDUZI WA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI YA SECURITY GROUP AFRIKA JIJINI DAR
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI KUZINDUA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI YA SECURITY GROUP AFRIKA JIJINI DAR LEO
9 years ago
MichuziSERIKALI YASAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MAGARI NA KAMPUNI YA ASHOK LEYLAND KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA, JIJINI DAR
10 years ago
GPLJESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI KUZINDUA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI YA SECURITY GROUP AFRIKA JIJINI DAR LEO
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Kampuni zisipewe uegeshaji wa magari
10 years ago
GPLTRAFIKI DAR WAENDESHA ZOEZI LA KUKAMATA BODABODA ZISIZOFUATA SHERIA