JESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI KUZINDUA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI YA SECURITY GROUP AFRIKA JIJINI DAR LEO
Mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Inspekta wa Polisi Mussa Mussa akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafu Philimon Mgaya akikata utepe wa kuashiria kuzindua magari mapya Zaidi ya ishirini ya kampuni ya ulinzi ya Security Group Africa ambayo yataanza kutumika katika kazi mbalimbali za kampuni hiyo hivi karibuni.Katikati yao ni mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Eric Sambu. Mwakilishi wa Mkuu wa jeshi la polisi nchini Inspekta wa Polisi Mussa Mussa akipokea msaada wa pikipiki mbili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLJESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI KUZINDUA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI YA SECURITY GROUP AFRIKA JIJINI DAR LEO
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Jeshi la polisi nchini lashiriki kuzindua magari mapya ya kampuni ya ulinzi ya Security Group Afrika Jijini Dar
Mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafu Philimon Mgaya akikata utepe wa kuashiria kuzindua magari mapya zaidi ya ishirini ya kampuni ya ulinzi ya Security Group Africa ambayo yataanza kutumika katika kazi mbalimbali za kampuni hiyo hivi karibuni.Katikati yao ni mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Eric Sambu.
Mwakilishi wa Mkuu wa jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akipokea msaada wa...
10 years ago
VijimamboJESHI LA POLISI NCHINI LASHIRIKI UZINDUZI WA MAGARI MAPYA YA KAMPUNI YA ULINZI YA SECURITY GROUP AFRIKA JIJINI DAR
9 years ago
MichuziJK leo akabidhi jeshi la polisi magari 399 mapya kati ya 777 yaliyoagizwa
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete leo amekabidhi magari 399 mapya kwa ajili ya kufanyia kazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo Cha Mafunzo ya Polisi kilichopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam.
Makabidhiano hayo yalifanyika mbele ya Waziri wa Mambo ya ndani Mhe Mathias Chikawe Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu na maofisa mbalimbali wa jeshi hilo.IGP Mangu Alisema magari hayo 20 ni ya kutema maji ya kuwasha na...
9 years ago
MichuziSERIKALI YASAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MAGARI NA KAMPUNI YA ASHOK LEYLAND KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA, JIJINI DAR
9 years ago
Dewji Blog20 Oct
Rais Kikwete alikabidhi Jeshi la Polisi magari mapya 399 kati ya 777 yaliyoagizwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Mathias Chikawe, IGP Ernest Mangu wakati akikagua sehemu ya magari mapya 399 kati ya 777 aliyokabidhi kwa jeshi la polisi leo Jumanne Oktoba 20, 2015 huko katika Chuo cha Polisi Kurasini Dar es salaam. (PICHA NA IKULU).
9 years ago
GPLRAIS KIKWETE ALIKABIDHI JESHI LA POLISI MAGARI MAPYA 399 KATI YA 777 YALIYOAGIZWA
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA MAONESHO YA 5 YA KAMPUNI YA EAG GROUP LEO JIJINI DAR.
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Rais Kikwete aagwa na Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini mapema leo jijini Dar es Salaam
Picha ya juu na chini: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
…Naaga!!