Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamachinga wamgeuka Azzan Zungu

>Uongozi wa soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga Complex) umesikitishwa na kauli ya Mbunge wa Ilala, Azzan Zungu dhidi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe kuwa yeye ndiyo chanzo cha vurugu za wamachinga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

CCM Mbeya wamgeuka mgombea wao

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mbeya Mjini kimechanganyikiwa kwa kukosa suluhisho la kushindw

Felix Mwakyembe

 

10 years ago

Raia Tanzania

Watangaza nia vijana wamgeuka Pinda

WATANGAZA nia vijana kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamemgeuka mtangaza nia mwenzao ambaye pia ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa kauli aliyowahi kuitoa bungeni mjini Dodma, maarufu kama ‘piga tu’, wakisema haifai na ni aibu kwa kiongozi.

Vijana hao kwa nyakati tofauti walitoa kauli hiyo jana mjini Dodoma katika ukumbi wa Chimwaga kwenye mdahalo ulioandaliwa na kipindi cha Mikikimikiki 2015 kinachorushwa na kituo cha Star TV.

Kauli hizo zilikuja baada ya mwanafunzi mmoja wa Chuo...

 

10 years ago

Habarileo

Azzan aziumbua kampuni za udalali

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki ameagizwa kusimamisha mara moja kazi inayofanywa na kampuni za udalali ya kukamata magari yanayodaiwa kukiuka sheria barabarani, badala ya kutekeleza jukumu walilopewa la kuondoa gereji bubu mitaani na barabarani.

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa mbunge Idd Azzan

Halmashauri ya Kinondoni ilibomoa makazi ya watu waliokuwa wakiishi Magomeni Kota kwa madai ya kuanzisha miradi lakini ni zaidi ya miaka minne hakuna kilichofanyika, kwa nini waliwasumbua watu?

 

10 years ago

GPL

IDD AZZAN ASHTUSHWA KUPIGWA ZENGWE LA KUTOGOMBEA

Mbunge wa Kinondoni, Idd Mohamed Azzan. Stori: OSCAR NDAUKA
KUMEKUCHA sasa! Mbunge wa Kinondoni kwa ‘leseni’ ya chama tawala (CCM), Idd Mohamed Azzan ameibuka na kusema kuwa ameshangazwa na habari zilizotangazwa na kituo kimoja cha runinga nchini kwamba amesema mwaka huu hataweka mguu wake kugombea ubunge wa jimbo hilo. Akizungumza na Uwazi ‘Mizengwe ya Uchaguzi’ jijini Dar hivi karibuni, mheshimiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Idd Azzan aanguka Kinondoni, Cuf yachukua

Wimbi la vyama vya upinzani kushinda ubunge jijini Dar es Salaam limeendea usiku huu baada ya mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika jimbo la Kinondoni, akimshinda mgombea wa CCM, Idd Azzan.

 

9 years ago

GPL

IDD AZZAN APOKELEWA KWA KISHINDO KIJITONYAMA

Mgombea ubunge iimbo la Kinondoni, Iddi Azzani akipokelewa na wakeleketwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wakati akiingia kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Kijitonyama, tayari kwa kumwaga sera zake kwa wananchi wa kata hiyo. Iddi Azzani akisalimiana na baadhi ya wanachama waliyojitokeza kumpokea muda mfupi baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya Kijitonyama alipokuwa akinadi sera zake kwa Wanakinondoni.… ...

 

11 years ago

GPL

IDD AZZAN: TAMASHA LA MATUMAINI LIFANYIKE NCHI NZIMA

Mbunge wa Kinondoni, Mheshimiwa Idd Azzan. Kinondoni ni moja kati ya wilaya tatu za Jiji la Dar es Salaam na jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mheshimiwa Idd Azzan kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM. Jimbo hili linapatikana Kaskazini mwa Jiji la Dar es Salaam, likiwa na eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 531 na wakazi zaidi ya 2,497,940 kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012. Kama kawaida, Gazeti la Uwazi...

 

9 years ago

Vijimambo

IDD AZZAN APIGWA CHINI KINONDONI, CUF YACHUKUA



Wimbi la vyama vya upinzani kushinda ubunge jijini Dar es Salaam limeendelea baada ya mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika jimbo la Kinondoni, akimshinda mgombea wa CCM, Idd Azzan.
Akitangaza matokeo hayo usiku wa kuamkia leo, msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo ambaye pia ni mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty amesema, Mtulia amepata kura 70, 337 huku Azzan aliyekuwa anatetea kiti chake akipata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani