Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IDD AZZAN APOKELEWA KWA KISHINDO KIJITONYAMA

Mgombea ubunge iimbo la Kinondoni, Iddi Azzani akipokelewa na wakeleketwa wa Chama cha Mapinduzi (CCM), wakati akiingia kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Kijitonyama, tayari kwa kumwaga sera zake kwa wananchi wa kata hiyo. Iddi Azzani akisalimiana na baadhi ya wanachama waliyojitokeza kumpokea muda mfupi baada ya kuwasili katika Viwanja vya Shule ya Kijitonyama alipokuwa akinadi sera zake kwa Wanakinondoni.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa mbunge Idd Azzan

Halmashauri ya Kinondoni ilibomoa makazi ya watu waliokuwa wakiishi Magomeni Kota kwa madai ya kuanzisha miradi lakini ni zaidi ya miaka minne hakuna kilichofanyika, kwa nini waliwasumbua watu?

 

10 years ago

Dewji Blog

Idd Azzan atoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa mlemavu jimboni kwake

0D6A5197

Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan akikabidhi kiti maalum cha kujisaidia pamoja na kiti cha magurudumu kwa mama huyo mlemavu.

Na modewji blog team

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan (CCM) ametoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa Rehema Nditi mkazi wa Magomeni Mwembe Chai  kama msaada kutokana na taabu aliyokuwa akiipata.

Idd Azzan ametoa msaada  … ambapo baada ya kuona Rehema Nditi  kupataa tabu ya kukosa kiti hicho.

Mbunge huyo amekua akisaidia maendeleo...

 

10 years ago

GPL

IDD AZZAN ATOA MSAADA WA KITI CHA MAGURUDUMU KWA MLEMAVU JIMBONI KWAKE‏

Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan akikabidhi kiti maalum cha kujisaidia pamoja na kiti cha magurudumu kwa mama huyo mlemavu. Na Modewji Blog Team Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan (CCM) ametoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa Rehema Nditi mkazi wa Magomeni Mwembe Chai kama msaada kutokana na taabu aliyokuwa akiipata. Idd Azzan ametoa msaada … ambapo baada ya kuona Rehema Nditi kupataa tabu...

 

10 years ago

Vijimambo

ZITTO APOKELEWA KWA KISHINDO KIGOMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akipokelewa na wananchi wa jimbo lake siku ya Ijumaa mara tu alipowasili jimboni hapo na kuwahutubia wapiga kura wake.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO ARUSHA

Mgombea Urais wa CCM, Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia Wananchi katika  mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mgombea Ubunge wa jimbo la Simanjiro na Mjumbe wa kamati ya ushindi ya kampeni za CCM,Ndugu Ole Sendeka akiwahutubia maelfu a wananchi wa jiji la Arusha na vitongoji vyake,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa kumbukumbu wa Sheikh...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKELEWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA

 Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa Gymkhana Bukoba mkoani Kagera kumsikiliza Dkt -John Pombe Magufuli.Mgombea Urais wa wa Jamhuri ya Muunganano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe magufuli akiwahutubia wakazi wa Bukoba mjini kwenye kutano wa hadhara wa kampeni uliofamyika katika uwanja wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI AITEKA ARUSHA,APOKELEWA KWA KISHINDO

Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwa sambamba na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwasalimia wakazi wa jiji la Arusha na vitongoji vyake kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid,mkoani Arusha\
Umati wa Wakazi wa jiji la Arusha na Vitongoji vyake wakifuatilia hotuba zilizokuwa zikitolewa na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakati wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama hicho Dkt John Pombe Magufuli...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MJINI BUKOBA LEO

 Umati wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Septemba 19, 2015.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi Bukoba waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni, kusikiliza sera zake, uliofanyika kwenye Uwanja wa AghaKhan, Mjini Bukoba, Mkoani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani