IDD AZZAN ATOA MSAADA WA KITI CHA MAGURUDUMU KWA MLEMAVU JIMBONI KWAKE

Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan akikabidhi kiti maalum cha kujisaidia pamoja na kiti cha magurudumu kwa mama huyo mlemavu. Na Modewji Blog Team Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan (CCM) ametoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa Rehema Nditi mkazi wa Magomeni Mwembe Chai kama msaada kutokana na taabu aliyokuwa akiipata. Idd Azzan ametoa msaada … ambapo baada ya kuona Rehema Nditi kupataa tabu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Idd Azzan atoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa mlemavu jimboni kwake
Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan akikabidhi kiti maalum cha kujisaidia pamoja na kiti cha magurudumu kwa mama huyo mlemavu.
Na modewji blog team
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan (CCM) ametoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa Rehema Nditi mkazi wa Magomeni Mwembe Chai kama msaada kutokana na taabu aliyokuwa akiipata.
Idd Azzan ametoa msaada … ambapo baada ya kuona Rehema Nditi kupataa tabu ya kukosa kiti hicho.
Mbunge huyo amekua akisaidia maendeleo...
11 years ago
GPL
DK. TIZEBA ATOA MISAADA KWA WAHANGA WA MOTO JIMBONI KWAKE
10 years ago
Michuzi.jpg)
MBUNGE WA CHALINZE MHE. RIDHIWANI KIKWETE ATOA MSAADA WA CHAKULA KWA WAATHIRIKA WA MVUA JIMBONI KWAKE
.jpg)
.jpg)
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Mugabe kutafutiwa kiti cha magurudumu
11 years ago
Michuzi24 Sep
DK. TIZEBA ATOA MISAADA KWA WAATHIRKA WA MOTO JIMBONI KWAKE

11 years ago
Dewji Blog24 Sep
Dk. Tizeba atoa misaada kwa wahanga wa moto jimboni kwake
Naibu Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Buchosa, Dk Charles Tizeba akipanda boti kuelekea kisiwa cha Nyamango kulikotokea ajali ya moto kwa ajili ya kukabidhi misaada.
Na Daniel Makaka, Sengerema
NAIBU Waziri wa Uchukuzi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Buchosa Dk Charles Tizeba ametoa msaada kwa wahanga wa ajali ya moto na nyumba zilizoezuliwa na mvua ya upepo katika kisiwa cha Nyamango kijiji cha Lushamba kata ya Bulyaheke jimbo la Buchosa wilayani Sengerema mkoa wa...
11 years ago
Dewji Blog09 Jun
Mbunge wa Mkuranga amwaga msaada kwa wajasiriamali jimboni kwake
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, Shabani Mandai,(katikati) akishuhudia vijana wake wakiunganisha cherahani, baada ya kupokea msaada wa cherahani 20 kwa ajili ya wajasiliamali na vifaa vya michezo kwa uongozi wa UVCCM Mkuranga.
Mwakilishi wa Mbunge wa Mkuranga ,Omary Kisigalile (kushoto)akimkabidhi mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mkulanga, Shabani Mandai (kulia) Cherehani 20 zilizotolewa na Mbunge wa jimbo hilo kwa ajili ya Vikundi vya...
11 years ago
GPL
MOHAMMED DEWJI (MO) AMWAGA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 127 KWENYE TAASISI ZA DINI ZAIDI YA 80 JIMBONI KWAKE
11 years ago
Michuzi.jpg)
Ole Medeye atoa misaada Jimboni kwake
.jpg)
.jpg)
.jpg)