Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mugabe kutafutiwa kiti cha magurudumu

Mkewe rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ,Grace, amekanusha madai kuwa anapania kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Idd Azzan atoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa mlemavu jimboni kwake

0D6A5197

Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan akikabidhi kiti maalum cha kujisaidia pamoja na kiti cha magurudumu kwa mama huyo mlemavu.

Na modewji blog team

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan (CCM) ametoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa Rehema Nditi mkazi wa Magomeni Mwembe Chai  kama msaada kutokana na taabu aliyokuwa akiipata.

Idd Azzan ametoa msaada  … ambapo baada ya kuona Rehema Nditi  kupataa tabu ya kukosa kiti hicho.

Mbunge huyo amekua akisaidia maendeleo...

 

10 years ago

GPL

IDD AZZAN ATOA MSAADA WA KITI CHA MAGURUDUMU KWA MLEMAVU JIMBONI KWAKE‏

Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan akikabidhi kiti maalum cha kujisaidia pamoja na kiti cha magurudumu kwa mama huyo mlemavu. Na Modewji Blog Team Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Mh. Iddi Azzan (CCM) ametoa msaada wa kiti cha magurudumu kwa Rehema Nditi mkazi wa Magomeni Mwembe Chai kama msaada kutokana na taabu aliyokuwa akiipata. Idd Azzan ametoa msaada … ambapo baada ya kuona Rehema Nditi kupataa tabu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mugabe:Wacheni kugombania kiti changu

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wanasiasa kukoma mara moja kugombania kile alichokitaja kiti chake cha urais.

 

5 years ago

Michuzi

Chama kikuu cha upinzani cha CNL kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake wa kiti cha urais

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais wa Mei 20 mwaka huu.

Wajumbe wa chama cha National Congres for Liberty jana walimuidhinisha Rwasa aliye na umri wa miaka 56 kama mgombea wao katika uchaguzi wa Rais wa mwezi Mei.

Agathon Rwasa atachuana katika uchaguzi huo na Jenerali wa jeshi Evariste Ndayishimiye ambaye ni muitifaki wa Nkurunzia. Mwezi uliopita chama tawala Burundi CNDD-FDD kilimchagua jenerali huyo wa jeshi...

 

9 years ago

BBCSwahili

7 kugombea kiti cha urais wa FIFA

Wagombea 7 wameidhinishwa kuwania kiti cha urais wa shirikisho la soka duniani FIFA mapema mwakani

 

10 years ago

Mtanzania

CUF yanyakua kiti cha Zitto, PAC

Amina MwidauNa Mwandishi Wetu, Dodoma
WAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, wamemchagua Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Mwidau (CUF) kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo.
Katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa, Mwidau alichaguliwa na wajumbe wa PAC kwa kupata kura 15 dhidi ya mpinzani wake, Lucy Owenya (Chadema) aliyeambulia kura mbili.
Akizungumza baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi hiyo, Mwidau alisema atafanya kazi iliyoachwa na Zitto Kabwe wakati akiiongoza kamati hiyo kwa kuzingatia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Profesa Jay ashinda kiti cha ubunge TZ

Msanii wa Bongo Joseph Haule maarufu kwa jina 'Profesa Jay' ndiye msanii wa hivi karibuni kuwahi kushinda kiti cha ubunge nchini Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

M/kiti kijiji cha Kambi ya Chokaa aungwa mkono

WAZEE wa jamii ya kifugaji ya Kimasai (Malaigwanan) wa kata ya Naisinyai wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameunga mkono kitendo cha wananchi wa Kijiji cha Kambi ya Chokaa kumsimika Joshua Kuney kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho.

 

10 years ago

Habarileo

Membe aomba China kusaidia kiti cha Afrika UN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeNCHI za bara la Afrika zimeendelea kulilia kiti cha uwakilishi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) ili ziweze kujiwakilisha vyema katika kuzungumzia matatizo yao kuliko ilivyo sasa ambapo nchi hizo zinasemewa pasipo uwakilishi wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani