Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


M/kiti kijiji cha Kambi ya Chokaa aungwa mkono

WAZEE wa jamii ya kifugaji ya Kimasai (Malaigwanan) wa kata ya Naisinyai wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameunga mkono kitendo cha wananchi wa Kijiji cha Kambi ya Chokaa kumsimika Joshua Kuney kuwa Mwenyekiti wa Kijiji hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akagua shughuli za kilimo cha mkono kijiji cha Kwemnyefu

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kulima na kupanda mahindi katika shamba kijijini Kwemnyefu Kata ya Mpapayu wilayani Mheza mkoani Tanga pamoja na wananchi wakati alipotembelea shamba hilo na kukagua shughuli za kilimo cha mkono, Katika shughuli hiyo katibu mkuu huyo ameshirikiana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za...

 

11 years ago

Michuzi

TBL YATOA MSAADA WA SH. MIL. 45 ZA KISIMA KIJIJI CHA KAMBI YA SIMBA KARATU

 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akipeana mkono na Mwenyekiti wa Kijiji cha Kambi ya Simba, Damian John wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi ya Sh. Milioni 45 zilizotolewa kwa ajili ya kuchimba kisima cha maji kijijini hapo mwishoni mwa wiki. Wengine ni Meneja Mauzo TBL Mkoa wa Arusha Richard Temba (mwenye miwani) na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Karatu Moses Mabula.
 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu akizungumza na ...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WANNE MBARONI AKIWEMO M/KITI WA KIJIJI CHA IHANDA WILAYANI KONGWA DODOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YAKIHUSISHA IMANI ZA KISHIRIKINA

Na. Sylvester Onesmo/Dorice Kigombe wa Jeshi la Polisi Dodoma.

Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafyeka mbuzi 15 wa m/kiti wa kijiji

Watu wasiofahamika wamebomoa nyumba na kuwaua mbuzi 15 wa mwenyekiti wa Kijiji cha Usoke Wilaya ya Momba mkoani hapa, Stanslaus Simwiche.

 

9 years ago

Michuzi

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli Atoa Mkono wa Krismas na Mwaka Mpya kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar.


Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mbuzi Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla hiyo imefanyika katika makaazi ya Wazee hao Welezo Zanzibar, Vyakula hivyo vimetolewa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kwa ajili ya Wazee hao kujumuiika na Wananchi katika kusherehekea Sikukuu ya Krismas na Mwaka Mpya. Mlukulu wa Ikulu Zanzibar Ndg Ameir Ali Khatib akimkabidhi Mafuta ya Kupikia Sister Mary Gemma wa kituo cha Wazee Welezo, hafla...

 

5 years ago

Michuzi

Chama kikuu cha upinzani cha CNL kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake wa kiti cha urais

Chama kikuu cha upinzani nchini Burundi kimemuidhinisha Agathon Rwasa kuwa mgombea wake katika uchaguzi wa rais wa Mei 20 mwaka huu.

Wajumbe wa chama cha National Congres for Liberty jana walimuidhinisha Rwasa aliye na umri wa miaka 56 kama mgombea wao katika uchaguzi wa Rais wa mwezi Mei.

Agathon Rwasa atachuana katika uchaguzi huo na Jenerali wa jeshi Evariste Ndayishimiye ambaye ni muitifaki wa Nkurunzia. Mwezi uliopita chama tawala Burundi CNDD-FDD kilimchagua jenerali huyo wa jeshi...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete azindua Kisima cha Maji, Lambo katika kijiji cha jamii ya Wafugaji cha Mbala,Chalinze

 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akionozana na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76. Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA RICHARD...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mugabe kutafutiwa kiti cha magurudumu

Mkewe rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ,Grace, amekanusha madai kuwa anapania kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani