Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mugabe:Wacheni kugombania kiti changu

Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wanasiasa kukoma mara moja kugombania kile alichokitaja kiti chake cha urais.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Tibaijuka:Nitatetea kiti changu

Tibaijuka aliwaonya wapinzani wake wa kisiasa kwamba yeye ndiyo chagua bora la wapiga kura.

 

10 years ago

Vijimambo

TIBAIJUKA NITATETEA KITI CHANGU



Aliyekuwa waziri wa Ardhi na makao nchini Tanzania Anne Tibaijuka anasema kuwa atatetea kiti chake cha ubunge licha ya kashfa ya EscrowSiku kadhaa tu baada ya rais Kikwete kumfuta kazi Anne Tibaijuka kama waziri wa ardhi,nyumba na makao ,kiongozi huyo amewaambia wakaazi wa bunge lake kwamba hawakumchagua kama waziri bali kama mwakilishi wao wa bunge, kulingana na gazeti la The citizen nchini Tanzania.
Tibaijuka alipigwa kalamu kutokana na maadili yake kufuatia kashfa ya akaunti ya tageta...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mugabe kutafutiwa kiti cha magurudumu

Mkewe rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ,Grace, amekanusha madai kuwa anapania kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao

 

10 years ago

BBCSwahili

B.Rodgers:Wacheni kumtegemea Gerrard

Mkufunzi wa Liverpool Brenda Rodgers amewaonya wachezaji wake dhidi ya kumtegemea nahodha wa timu hiyo Steven Gerrard kila mechi.

 

9 years ago

Michuzi

Mikoa yaanza kugombania Tamasha la Pasaka 2016


WANANCHI wa mikoa mbalimbali wamejitokeza kuiomba kkampuni ya Msama Promotions ianzie Tamasha la Pasaka mikoa kwao mwaka huu huku wakazi wa dare s salaam wakisisitiza libaki mkoani humo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama ameliambia Gazeti hili kuwa, tayari amepokea maombi toka kwa wananchi na mashabiki wa mikoa ya Morogoro, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Dar es Salaam wakitaka tamasha hilo lianzie kwao mwaka huu.
“Kamati yangu  inafuata taratibu za Baraza la...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. MAALIM SEIF AMEWATAKA WAISLAMU NCHINI KUACHANA NA TABIA YA KUGOMBANIA MISIKITI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akifungua pazia kuashiria ufunguza rasmi wa MASJID AQSAA katika kijiji cha Kiboja Mkwajuni, Wilaya ya Kati Unguja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwahutubia waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria ufunguza wa MASJID AQSAA katika kijiji cha Kiboja Mkwajuni, Wilaya ya Kati Unguja.  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, viongozi wa dini ya kiislamu nchini...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHARAKATI BI RITHI HAJI ALI AWATAKA WANAWAKE WENZAKE KUGOMBANIA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI

Na Maryam Kidiko-MaelezoZanzibar        Mwanaharakati  wa  Masuala ya Wanawake wa Jimbo la Mwana kwerekwe  Bi Rihi Haji Ali amewataka Wanawake wenzake  kujitokeza kwa wingi kugombania nafasi mbali mbali za Uongozi ili kuweza kutetea haki zao .
Hayo ameyasema  huko Mwanakwerekwe wakati akizungumza na Waandishi wa habari katika suala zima la wanawake kuacha woga na kujitokeza kwa wingi kugombania  ili waweze  kujisemea wenyewe na kupata haki zao za kimsingi. 
Hata hivyo amesema wakati umefika...

 

9 years ago

Vijimambo

PONGEZI KWA CHAMA CHANGU

Loveness Mamuya, mratibu wa CCM Marekani
Baada ya kuangalia na kufuatilia mikutano ya kampeni kama kada wa chama cha mapinduzi anachukua nafasi hii kukipongeza Chama chake Chama Cha Mapinduzi kwa kuendesha kampeni zilizofuata misingi ya demokrasia, pia nawapongeza mh Dr John P. Magufuri na mama Samia Suluhu kwa kuweza kuzunguka Tanzania nzima kuwafikia watanzania wote kila kona, Ali Shein pia kwa upande wa Zanzibar. Nachukua nafasi hii kuwakumbusha watanzania wenzangu kujitokeza kuwapigia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani