Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAHARAKATI BI RITHI HAJI ALI AWATAKA WANAWAKE WENZAKE KUGOMBANIA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI

Na Maryam Kidiko-MaelezoZanzibar        Mwanaharakati  wa  Masuala ya Wanawake wa Jimbo la Mwana kwerekwe  Bi Rihi Haji Ali amewataka Wanawake wenzake  kujitokeza kwa wingi kugombania nafasi mbali mbali za Uongozi ili kuweza kutetea haki zao .
Hayo ameyasema  huko Mwanakwerekwe wakati akizungumza na Waandishi wa habari katika suala zima la wanawake kuacha woga na kujitokeza kwa wingi kugombania  ili waweze  kujisemea wenyewe na kupata haki zao za kimsingi. 
Hata hivyo amesema wakati umefika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI UJAO

Na Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa Nachingwea
Wanawake nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kugombea  nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji  utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu  ili waweze kuingia katika ngazi ya maamuzi. 
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanachama wa chama hicho wa wilaya ya Nachingwea...

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Awataka Wanawake Wenzake Kuitazama Filamu Hii Kwenye Mwezi Huu wa Mfungo

Kutoka Steps Entertainment ‘THE SECOND WIFE’ ni filamu nzuri ya mafundisho ya dini,inapatikana kwenye maduka yote ya steps entertainment Tanzania nzima pata nakala yako ujifunze kitu ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani kutana na  Vicent Kigosi ‘Ray’, Riyama Ally na wengine wengi

Wanawake wenzangu kama bado hujaiona hii basi Naomba ukaitafute inapatikana madukani kote ili upate kujifunza subira na Uvumilivu pindi mwanaume anapo amua kufanya maamuzi magumu pia kwa kakazangu na baba zangu...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake gombeeni nafasi za uongozi

Tanzania ina hazina ya wanawake wenye uwezo katika masuala ya uongozi na vipaji vya kuhamasisha maendeleo siyo kwa wanawake pekee bali jamii kwa jumla.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wahimizwa kuwa nafasi za uongozi

MWENYEKITI wa UVCCM mkoa wa Iringa,  Tumaini Msowoya ametembelea wodi ya watoto 22

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya akimkabidhi msaada mmoja kati ya wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya watoto kwenye Hospitali ya mkoa, wakati alipotembelea wodi ya watoto 22.

Na Fredy Mgunda, Iringa

JAMII imeaswa kuacha mitazamo dhaifu na yenye kejeri kwa wanawake wanaojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa.

Aidha wanawake wenyewe wameshauriwa kutolegea  na kuwa na misimamo pindi wanapotaka kuingia madarakani kwa kujiamini na kutokubali kutumiwa kama...

 

10 years ago

Michuzi

RITTA KABATI awataka wakinamama kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu

   Mbunge wa viti maalumu Iringa mjini RITTA KABATI
Na Mariamu Matundu, Iringa 
Mbunge wa viti maalumu Iringa mjini RITTA KABATI  amewataka wakinamama kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu. KABATI ameeleza kuwa wanawake waondoe hofu ya kugombea hasa kukiwa na ushindani wa wagombea wanaume kwa kuogopa kuchafuliwa kwa mambo yasiyokuwepo.Ameendelea kusema kuwa wananchi wasishawishiwe na propaganda za wanasiasa na badala...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Wanawake hawajahamasika kuthubutu kwenye nafasi za uongozi

>Tangu enzi na enzi wanawake wamekuwa wakichukuliwa kama wasaidizi wa wanaume na wamekuwa hawahusishwi kwenye nafasi mbalimbali, hasa zile kubwa serikalini, hata kwenye madhehebu mbalimbali ya dini.

 

10 years ago

Michuzi

Wanawake jitokezeni kugombea nafasi za uongozi - Mhe. Bona Kaluwa

Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa akifafanua jambo kwa wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha jumuiya hiyo.Shina hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala. Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa(katikati) akizungumza na wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAZINDUA MPANGO MAALUMU WA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUSHIKA NAFASI ZA UONGOZI

Benki ya CRDB imezindua mpango maalum wa kuwawezesha wafanyakazi wanawake katika nyanja mbalimbali ili  waweze  kushika nafasi za uongozi.
Akizindua mpango huo katika hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es salaam jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela alisema, Mpango huo ni mahususi katika kuwawezesha wanawake wa CRDB Banki ili waweze kuwa viongozi katika nyanja mbalimbali pamoja na kuwafanya waweze kujiamini na kukamata fursa zilizopo.
Mpago huo ni mwendelezo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani