Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake jitokezeni kugombea nafasi za uongozi - Mhe. Bona Kaluwa

Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa akifafanua jambo kwa wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika kutambulisha jumuiya hiyo.Shina hilo lipo katika Kata ya Kivukoni , Manispaa ya Ilala. Diwani wa Kata ya Kipawa Mhe. Bona Kaluwa(katikati) akizungumza na wajumbe wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Shina la Pamba jijini Dar es Salaam, mapema jana wakati alipokuwa mgeni rasmi katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WANAWAKE KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KATIKA UCHAGUZI UJAO

Na Anna Nkinda – Maelezo, aliyekuwa Nachingwea
Wanawake nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi kugombea  nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji  utakaofanyika mwishoni mwa mwaka huu  ili waweze kuingia katika ngazi ya maamuzi. 
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanachama wa chama hicho wa wilaya ya Nachingwea...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanawake jitokezeni nafasi za ubunge, urais’

MTANDAO wa Wanawake na Katiba nchini, umewataka wanawake nchini kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa hasa za ubunge na urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

WANAWAKE JITOKEZENI KUWANIA NAFASI YA URAS- TGNP

Mwanaharakati  wa TGNP  kutoa kijiji  cha   Ifiga kata ya Ijombe Mbeya  Bi . Flora Mathias Mlowezi akifafanua  jambo  wakati  wa mafunzo ya  wanahabari juu ya wajibu  wa  wanawake na  vijana kujitokeza katika kuwania nafasi za  uongoziwashiriki  wa  mafunzo ya  TGNP kwa  wanahabari wa mikoa ya nyanda za juu kusini wakisikiliza kwa makini mada mbali mbali zilizokuwa  zikitolewa katika mafunzo  hayo.

BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wahitimu watakiwa kugombea nafasi za uongozi

WAHITIMU Nchini, wametakiwa kutumia taaluma yao kujitokeza kugombea nafasi za uongozi ngazi za chini ili kuleta maendeleo katika jamii. Rai hiyo imetoleawa jana na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi za uongozi

VIJANA wametakiwa kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14, mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam jana, na mmoja wa wagombea...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanawake gombeeni nafasi za uongozi

Tanzania ina hazina ya wanawake wenye uwezo katika masuala ya uongozi na vipaji vya kuhamasisha maendeleo siyo kwa wanawake pekee bali jamii kwa jumla.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake DRC: watakiwa kugombea uongozi

Wanawake wanaharakati nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamejitokeza kuwahamasisha wanawake wenzao,kugombea nafasi za juu katika uchaguzi mkuu ujao

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wahimizwa kuwa nafasi za uongozi

MWENYEKITI wa UVCCM mkoa wa Iringa,  Tumaini Msowoya ametembelea wodi ya watoto 22

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa, Tumaini Msowoya akimkabidhi msaada mmoja kati ya wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya watoto kwenye Hospitali ya mkoa, wakati alipotembelea wodi ya watoto 22.

Na Fredy Mgunda, Iringa

JAMII imeaswa kuacha mitazamo dhaifu na yenye kejeri kwa wanawake wanaojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa.

Aidha wanawake wenyewe wameshauriwa kutolegea  na kuwa na misimamo pindi wanapotaka kuingia madarakani kwa kujiamini na kutokubali kutumiwa kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani