Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMKO LA WAZIRI ZUNGU KUHUSU SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akisoma tamko juu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, mbele ya waandishi wa Habari hii leo Jijini Dodoma. Kwa mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika kwa kutumia vyombo vya habari bila kuwapo kwa mikusanyiko.
TAMKO LA MHE. MUSSA AZZAN ZUNGU (MB.), WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO NA MAZINGIRA JUU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Ndugu Wananchi,Kila tarehe 5 Juni, nchi yetu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) ATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI MJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Habari, Bungeni alipokutana nao kutoa Tamko kwa niaba ya Waziri kuhusu Siku ya kupambana na Kuenea kwa hali ya Jangwa na Ukame Dunia leo tarehe 16 Juni, 2014. Picha na Owen Mwandumbya.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MAHENGE ATOA TAMKO LA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, TAREHE 5 JUNI 2015

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe. Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge akitoa tamko kuhusu wiki ya mzingira kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge amesema Tarehe 5 Juni ya kila mwaka watanzania tunaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Kitaifa Maadhimisho haya yataadhimishwa katika viwanja vya...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA WAZIRI ZUNGU - SIKU YA KUPAMBANA KUENEA KWA JANGWA NA UKAME


  TAMKO LA MHE. MUSSA AZZAN ZUNGU (MB.), WAZIRI WA NCHI - OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI, TAREHE 17 JUNI, 2020Ndugu Wananchi,Kila mwaka tarehe 17 Juni, nchi yetu huungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame. Kimataifa Maadhimisho ya Siku hii yanafanyika Jijini Seoul nchini Korea Kusini. Kaulimbiu...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA TUME KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA.

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na Watanzania wote katika kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani ambayo kilele chake ni Juni 5, 2020.
Kama Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Kitaifa Mwaka huu inavyosema Tuhifadhi Mazingira: Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi, hivyo, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nayo kupitia Maadhimisho haya inapenda kuwakumbusha Wananchi wajibu wao wa kutunza na kuhifadhi mazingira kwa sababu ustawi wa viumbe hai akiwemo...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KISUKARI DUNIANI ITAADHIMISHWA KESHO NOVEMBA 14-2014.

Na Dotto Mwaibale wa Habari za Jamii Blog

SERIKALI imesema gharama za kutibu mgonjwa wa kisukari kwa mwaka hapa nchini ni sh.408,000 na kuwa watu wengi wamekuwa wakiugua ugonjwa huo bila ya wao kujitambua.

Imeelezwa kuwa utafiti uliofanya mwaka 2012 katika wilaya 50 nchini ulionyesha ya kuwa asilimia 9.1 ya watu huugua ugonjwa huo bila wenyewe kujua.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo Naibu Waziri wa Afya Kebwe Stephen wakati akitoa tamko la serikali kuhusu siku ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI ZUNGU AKUTANA NA MENEJIMENTI YA NEMC NA WADAU WA MAZINGIRA



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu  akifafanua jambo wakati wa kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) pamoja na Wadau wa Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan...

 

5 years ago

Michuzi

DK.Shein Akutana na Waziri wa Muungano na Mazingira Mhe. Zungu

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe.Mussa Hassan Zungu (katikati) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha akiwa ujumbe wake (Kushoto) Mkurugenzi wa Muungano Balozi   Mbarouk Nassor Mbarouk.(Picha na Ikulu.) 14/02/2020.

 

5 years ago

Michuzi

WAWEKEZAJI WANAPASWA KUTIMIZA MATAKWA YA SHERIA YA UHIFADHI WA MAZINGIRA-WAZIRI ZUNGU

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu (mwenye kofia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Uzalishaji Hinduka Kamalamo wa kiwanda cha cha kutengeneza mifuko mbadala aina ya ‘non woven’ cha Jin Yuan Investment kilichopo Nyakato wilayani Ilemela mkoani Mwanza wakati wa ziara yake ya kikazi.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiwa kwenye Hoteli ya Malaika jijini Mwanza alipofanya ziara ya kusikiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani