Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MAHENGE ATOA TAMKO LA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, TAREHE 5 JUNI 2015

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mhe. Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge akitoa tamko kuhusu wiki ya mzingira kwa waandishi wa habari (hawapo pichani). Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Dkt. Binillith S.Mahenge amesema Tarehe 5 Juni ya kila mwaka watanzania tunaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani. Kitaifa Maadhimisho haya yataadhimishwa katika viwanja vya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) ATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI MJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Habari, Bungeni alipokutana nao kutoa Tamko kwa niaba ya Waziri kuhusu Siku ya kupambana na Kuenea kwa hali ya Jangwa na Ukame Dunia leo tarehe 16 Juni, 2014. Picha na Owen Mwandumbya.

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza
Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari  Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia  tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa  kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza  Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL  LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA WAZIRI ZUNGU KUHUSU SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mussa Azzan Zungu akisoma tamko juu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, mbele ya waandishi wa Habari hii leo Jijini Dodoma. Kwa mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika kwa kutumia vyombo vya habari bila kuwapo kwa mikusanyiko.
TAMKO LA MHE. MUSSA AZZAN ZUNGU (MB.), WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS - MUUNGANO NA MAZINGIRA JUU YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI
Ndugu Wananchi,Kila tarehe 5 Juni, nchi yetu...

 

11 years ago

Michuzi

SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI KUADHIMISHWA TAREHE 20 JUNI, 2014

Tarehe 20 Juni ya kila mwaka ni siku ya Wakimbizi duniani na kwa Tanzania siku hiyo itaadhimishwa kitaifa hapa Dar es Salaam katika Hotel ya Sea Cliff, ambapo mgeni rasmi katika halfa hiyo atakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe.
Kufuatana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Familia moja kusambaratika na vita ni wengi mno” au kwa Kiingereza “1 family torn apart by war is too many”.
Taarifa hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAHENGE:ASILIMIA 61 YA ARDHI NCHINI IMEHARIBIKA, AIRTEL YAPIGA JEKI SIKU YA MAZINGIRA

ASILIMIA 61 ya ardhi nchini imeharibika kutokana uharibifu wa mazingira ya ardhi  katika vyanzo vya mbalimbali na kusababisha kuzama kwa baadhi ya viziwa kutokana na mabadiliko ya tabianchi.

Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira,Mhandisi Binith Mahenge wakati akitangaza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani  yatakayofanyika Juni 5 mwaka  huu mkoani Tanga.  Mahenge amesema Juni 5 ya kila mwaka iliamuliwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1972 kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

RATIBA YA KUAGA RASMI NA MAZISHI YA MAREHEMU DONALD MAX, SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 27 JUNI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA MAKABURI YA KINONDONI

_________MAREHEMU DONALD MAX___________

NA.

MUDA

TUKIO

MHUSIKA

MAHALI

1.

12:00 - 02:00

Familia kuandaa Mwili wa Marehemu

Familia

Nyumbani

2.

02:00 - 04:00

Taratibu za Kimila

Familia

Nyumbani

3.

04:00 - 05:00

Chai/Chakula

Familia

Nyumbani

4.

04:00 - 05:00

§  Waombolezaji kuwasili katika Viwanja vya Karimjee

Katibu wa Bunge

Karimjee



§  Viongozi wa Vyama vya Siasa,  Waheshimiwa wa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi katika Nafasi zao

...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kukabiliana na Uharibifu wa Mazingira - Waziri Mahenge



Na Victor Mariki - Ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa Serikali inaendelea  kukabiliana na changamoto za uharibifu  wa mazingira kwa kuhamasisha utekelezaji  wa mipango  ya kitaifa ya kuhifadhi mazingira pamoja na miongozo yake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika  tarehe 5 Juni kila mwaka ambapo mwaka huu maadhimisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani