SIKU YA WAKIMBIZI DUNIANI KUADHIMISHWA TAREHE 20 JUNI, 2014
Tarehe 20 Juni ya kila mwaka ni siku ya Wakimbizi duniani na kwa Tanzania siku hiyo itaadhimishwa kitaifa hapa Dar es Salaam katika Hotel ya Sea Cliff, ambapo mgeni rasmi katika halfa hiyo atakuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe.
Kufuatana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni “Familia moja kusambaratika na vita ni wengi mno” au kwa Kiingereza “1 family torn apart by war is too many”.
Taarifa hiyo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.
Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...
10 years ago
GPLWAZIRI MAHENGE ATOA TAMKO LA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, TAREHE 5 JUNI 2015
11 years ago
MichuziMaadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani Tarehe 23 Machi, 2014
11 years ago
Michuzi09 May
9 years ago
MichuziSiku ya Posta Duniani kuadhimishwa nchini
9 years ago
MichuziSiku ya Posta Duniani kuadhimishwa TCRA jijini Dar es Salaam leo
11 years ago
GPLBENKI YA EXIM YACHANGIA DAMU KUADHIMISHA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU DUNIANI JUNI 14, 2014
9 years ago
Dewji Blog09 Oct
Siku ya Posta Duniani kuadhimishwa leo katika ofisi za TCRA jijini Dar es Salaam
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Joseph Ngowi, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maadhimisho ya Siku ya Posta duniani, inayoadhimishwa, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) jijini, kabla ya kumkaribisha Meneja Masoko wa shirika hilo, David George (kulia) kuzungumza masuala mbalimbali yanayohusu maadhimisho ya siku hiyo, leo jijini Dar.
Meneja Masoko wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), David George, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es...