Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani Tarehe 23 Machi, 2014
.jpg)
Kila mwaka tarehe 23 Machi nchi wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani hujiunga na kuadhimisha kuzaliwa kwa Shirika hilo lililoanzishwa tarehe 23 Machi, 1950 kulingana na kauli mbiu.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni ’Ushirikishwaji wa Vijana katika Masuala ya Hali ya Hewa’- ”(Weather and Climate: Engaging Youth)”. Katika kuadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani (WMO), Shirika la Hali ya Hewa linawahamasisha vijana ulimwenguni kote kujihusisha na masuala ya hali ya hewa, ili kupata...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Mar
11 years ago
Michuzi09 May
11 years ago
Michuzi
MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.

Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...
10 years ago
Michuzi.jpeg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA MACHI 8, 2015
.jpeg)
Maadhimisho haya hutoa fursa kwa Taifa, mikoa, wilaya na wadau wengine kupima mafanikio yaliyopatikana katika kuwendeleza wanawake na...
10 years ago
VijimamboHALI YA HEWA YAENDELEA KUWANOA WATAALAMU WAKE KATIKA KUKIDHI VIGEZO VYA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO)
IMG0086: Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa TMA Dkt. Agnes Kijazi katika picha ya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya huduma za hali ya hewa kwa ajili ya usafiri wa anga kutoka Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma,Kulia kwake mwenye tai nyekundu ni Mkuu wa Chuo cha Hali ya Hewa Kigoma Bw. Joseph...
10 years ago
Vijimambo
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 17 WA SHIRIKA LA HALI YA HEWA DUNIANI (WMO) NCHINI USWISI TAREHE: 25 MEI HADI 12 JUNE 2015.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt. Agnes Kijazi pamoja na ujumbe wa Tanzania akiwemo Bwana Mohamed Ngwali, Mkurugenzi wa TMA – Ofisi ya Zanzibar, wanashiriki mkutano mkuu wa 17 wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) unaofanyika Uswisi, makao makuu ya Shirika hilo kuanzia tarehe 25 Mei hadi 12 Juni...