WAZIRI MAHENGE:ASILIMIA 61 YA ARDHI NCHINI IMEHARIBIKA, AIRTEL YAPIGA JEKI SIKU YA MAZINGIRA
ASILIMIA 61 ya ardhi nchini imeharibika kutokana uharibifu wa mazingira ya ardhi katika vyanzo vya mbalimbali na kusababisha kuzama kwa baadhi ya viziwa kutokana na mabadiliko ya tabianchi.
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira,Mhandisi Binith Mahenge wakati akitangaza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yatakayofanyika Juni 5 mwaka huu mkoani Tanga. Mahenge amesema Juni 5 ya kila mwaka iliamuliwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1972 kuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo29 May
Mahenge asema asilimia 61 ya ardhi imeharibika
ASILIMIA 61 ya ardhi nchini imeharibika kutokana uharibifu wa mazingira ya ardhi katika vyanzo vya mbalimbali na kusababisha kuzama kwa baadhi ya visiwa kutokana na mabadiliko ya tabianchi.
10 years ago
MichuziAIRTEL YAPIGA JEKI SIKU YA MAZINGIRA
Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira,Mhandisi Binith Mahenge wakati akitangaza maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yatakayofanyika Juni 5 mwaka huu mkoani Tanga.
Mahenge amesema Juni 5 ya kila mwaka iliamuliwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1972 kuwa...
10 years ago
MichuziWaziri Mahenge akutana na Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira
10 years ago
GPLWAZIRI MAHENGE ATOA TAMKO LA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, TAREHE 5 JUNI 2015
10 years ago
MichuziTanzania kukabiliana na Uharibifu wa Mazingira - Waziri Mahenge
Na Victor Mariki - Ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Mazingira), Dk. Binilith Mahenge amesema kuwa Serikali inaendelea kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira kwa kuhamasisha utekelezaji wa mipango ya kitaifa ya kuhifadhi mazingira pamoja na miongozo yake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo hufanyika tarehe 5 Juni kila mwaka ambapo mwaka huu maadhimisho...
11 years ago
Michuzi11 Jul
WAZIRI WA MAZINGIRA DKT. BINILITH MAHENGE AKANUSHA KUTUMIA FACEBOOK YENYE JINA LAKE
Waziri Mahenge ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Makete mkoani Njombe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na mwandishi wetu wilayani hapo na kusema kumekuwa na baadhi ya watu wanaoitumia mitandao hiyo vibaya kwa kufungua akaunti yenye jina lake ilihali yeye hajawahi kujiunga na facebook na...
9 years ago
MichuziWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Mh. Dk. Binilith Mahenge akutana na mabalozi wa Uswisi na Ufaransa
10 years ago
MichuziBaadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio - Waziri Mahenge
Baadhi ya machinjio jijini Dar es Salaam hayakidhi vigezo vya mazingira ya machinjio, hali ambayo huatarisha afya za wakazi wanaozunguka maeneo hayo ikiwemo pamoja na wafanyakazi machinjioni humo.
Hayo yalibainika wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu ya Rais - Mazingira, Mh. Binilith Mahenge alipofanya ziara ya ukaguzi mazingira katika baadhi ya machinjio hayo jijini humo leo.
Katika ziara hiyo, Mh. Mahenge alitembelea machinjio ya Ukonga na...
10 years ago
Michuzi12 Feb
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, NHC mafunzoni nchini Afrika Kusini