NINGEKUWA MIMI ZITTO KABWE, NINGETAZAMA UPYA NYENDO ZANGU
![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3zYYVjghZOfLVgRfzlm4GzAMl8Iu2mj8-zSfqtNR2pCIB7XuhP6ISBD9gOgV4pW4PDP7BCw4-ku6eBbqggqPFsD/zkwasanii2.jpg?width=650)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe. Kwako Zitto Zuberi Kabwe. Siku nyingi zimepita tangu tulipoonana mara ya mwisho, siku uliyokuja kutembelea chumba chetu cha habari. Natamani kukutana nawe tena ili nikufikishie ujumbe huu lakini kwa sababu ya ubize ulionao, nadhani itakuwa ngumu! Acha nikufikishie nilichotaka kukwambia kupitia ukurasa huu. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Septemba 24, 1976 huko Kigoma kama wewe. Wala...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bco3t9J7*tS6JQAqcOfyXWoDQGb6-zaO15P3-WTklunk-vKafLxPcloPlDYAWWW5itfXKApeypck5YpjdbxFkodgyl*-9PGA/KamandaKOVA.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI SULEIMAN KOVA, NINGETAZAMA UPYA UFANISI WANGU
10 years ago
Vijimambo10 Jan
NINGEKUWA MIMI SULEIMAN KOVA, NINGETAZAMA UPYA UFANISI WANGU WA KAZI
![](http://api.ning.com/files/bco3t9J7*tS6JQAqcOfyXWoDQGb6-zaO15P3-WTklunk-vKafLxPcloPlDYAWWW5itfXKApeypck5YpjdbxFkodgyl*-9PGA/KamandaKOVA.jpg?width=650)
Kwako Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku ambayo yanakufanya uwe bize muda mwingi. Najua itakuwa vigumu kuonana na wewe kwa mara nyingine tangu tulipoonana siku ulipotembelea chumba chetu cha habari. Hata hivyo, hiyo hainizuii kukufikishia ujumbe wangu kwako.Mheshimiwa, mimi siyo Kamanda wa Polisi wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfbInsB5bPTeKPqhD-lx8I5XDcvisLnWMVXZvcVDCVp-BSEuKBcxmGMSG0*t1E7JFVoGudwJkzBZ-5MPR4cuTi2f/HAWAGHASIA.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI HAWA GHASIA, NINGEKUWA WA KWANZA KUJIUZULU
10 years ago
Zitto Kabwe, MB19 Mar
VIDEO: Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.
Mbunge wa Kigoma Mhe. Zitto Kabwe aiomba serikali kuangalia upya muswaada wa sheria ya kazi baada ya kubainisha mapungufu ya muswada huo.
![](https://pixel.wp.com/b.gif?host=zittokabwe.wordpress.com&blog=12675215&post=3509&subd=zittokabwe&ref=&feed=1)
10 years ago
GPLNINGEKUWA MIMI CHENGE, NISINGESUBIRI KUWAJIBISHWA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bw2nvNPOsBErgmE6qizTKYTg9S0B*YrI6Vk6VmW3PVAxlDkfPRVLp6rH-u2j5cjePGWJ1Z6YAxX6xZX7Qgqxow5/LazaroNyalandu1.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI NYALANDU, NISINGETANGAZA KUGOMBEA URAIS
10 years ago
GPL![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/1743378/lowRes/486297/-/g9gg9l/-/Lipumba+picha.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI PROFESA LIPUMBA, NINGEENDELEA NA HARAKATI
10 years ago
GPLNINGEKUWA MIMI KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, NINGEJITATHMINI KWANZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOjgcJcGjYDq8QNwsmaBhjRzjGo6W6ftiTsQdXibFV6QuGzbDwx9qiEr3a5Uy4nVcCXIBeGBOlS6L0f9jtR-BUFx/wpidwema_sepetu712.jpg?width=650)
WEMA; HATA MIMI NINGEKUWA AUNT EZEKIEL NINGEGOMBANA NA WEWE