NINGEKUWA MIMI CHENGE, NISINGESUBIRI KUWAJIBISHWA
Andrew Chenge. Kwako Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge. Najua hunifahamu na hakuna mazingira yanayoweza kutukutanisha pamoja lakini hiyo hainizuii kukufishia ujumbe wangu kwako, najua ‘utamaindi’ lakini ni lazima nikwambie kwa faida yako na ya Watanzania. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Desemba 24, 1947 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Zagayu kama wewe. Sikusoma Sekondari ya St. Mary’s Junior...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLNINGEKUWA MIMI CHENGE,NISINGEDIRIKI KUJIITA NYOKA MWENYE MAKENGEZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfbInsB5bPTeKPqhD-lx8I5XDcvisLnWMVXZvcVDCVp-BSEuKBcxmGMSG0*t1E7JFVoGudwJkzBZ-5MPR4cuTi2f/HAWAGHASIA.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI HAWA GHASIA, NINGEKUWA WA KWANZA KUJIUZULU
10 years ago
Vijimambo29 Nov
INGEKUWA MIMI WEREMA, NISINGESUBIRI KUTIMULIWA, NINGEJIUZULU
![](http://api.ning.com/files/V0EnpUkUMSWQT2Z9R*ZZmirWArYuf*Y6Ptpmg-*u-Qm5k8eIf5*37y6OvTv*UFwQVuSF2nRIS-jTNMRjxHH06KgFXA5bneN5/AGAkwamaClip.jpg?width=650)
Jaji Frederick Werema akizungumza jambo
Kwako Jaji Frederick Werema.
Najua katika siku za hivi karibuni umekuwa katika wakati mgumu sana kutokana na kushiriki kwako kwa namna moja au nyingine katika sakata la mabilioni ya Escrow. Najua jinsi ulivyochanganyikiwa lakini sina namna nyingine zaidi ya kukufikishia ujumbe huu, hata kama utakuchukiza.
Mimi sikuzaliwa Oktoba 10, 1955 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Wegero wala Sekondari za Bwiru na Songea Boys kama wewe. Sikuchukua Shahada ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1R1gqINM7bw2nvNPOsBErgmE6qizTKYTg9S0B*YrI6Vk6VmW3PVAxlDkfPRVLp6rH-u2j5cjePGWJ1Z6YAxX6xZX7Qgqxow5/LazaroNyalandu1.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI NYALANDU, NISINGETANGAZA KUGOMBEA URAIS
10 years ago
GPL![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/1743378/lowRes/486297/-/g9gg9l/-/Lipumba+picha.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI PROFESA LIPUMBA, NINGEENDELEA NA HARAKATI
10 years ago
GPLNINGEKUWA MIMI KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, NINGEJITATHMINI KWANZA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91sldHDSCbTM6GvTBsKkwvEbs2206k*scEhaslSfZHX2pUDpMxbEfSPWAGw0xgvZkQLCMmz4fZm0um6LsVIQYQl*n3/KILAINI.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI ASKOFU METHOD KILAINI, NINGEJIUZULU WADHIFA WANGU
10 years ago
Vijimambo22 Nov
NINGEKUWA MIMI MUHONGO, KWA HILI LA ESCROW, NINGENG’ATUKA
![](http://api.ning.com/files/dM6a4AYRwJO0WWziC7ef9awx*iVnDebyc6V-WHXsUle7U6eqVNBgArksEKhGTCTKI65sut9gW87*TAKmYsr06C0EyQliCa6S/3001.KODI.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/dM6a4AYRwJOmZirhaAxIihVuqQojy*NAJRkn-zgieHx0b0Yn7BYFK0TA6jM0tqsZxb2fJiUfQOtEcpzNf1wsUdtOLkLuU9jq/5003.KODI.jpg?width=650)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u-nuBgwJg3zYYVjghZOfLVgRfzlm4GzAMl8Iu2mj8-zSfqtNR2pCIB7XuhP6ISBD9gOgV4pW4PDP7BCw4-ku6eBbqggqPFsD/zkwasanii2.jpg?width=650)
NINGEKUWA MIMI ZITTO KABWE, NINGETAZAMA UPYA NYENDO ZANGU