Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NINGEKUWA MIMI NYALANDU, NISINGETANGAZA KUGOMBEA URAIS

Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Samuel Nyalandu. Kwako Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Samuel Nyalandu.
Najua uko bize sana kwa sasa ukiweka sawa mipango yako kuhakikisha mwaka huu unaingia ikulu katika uchaguzi mkuu ujao, najua itakuwa vigumu kwa ‘kapuku’ kama mimi kuonana na wewe ndiyo maana nimeamua kutumia ukurasa huu kufikisha ujumbe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI HAWA GHASIA, NINGEKUWA WA KWANZA KUJIUZULU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- tamisemi), Hawa Abdulrahman Ghasia. Kwako Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- tamisemi), Hawa Abdulrahman Ghasia. Ni matumaini yangu kwamba bado upo kwenye wakati mgumu kutokana na madudu yaliyotokea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kusababisha sehemu nyingine uchaguzi uahirishwe kutokana na dosari za...

 

10 years ago

Mtanzania

Nyalandu atangaza kugombea urais

Pg 3.

 

Na Kulwa Karedia, Singida
MBIO za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimechukua sura mpya baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza rasmi nia ya kugombea urais mwaka 2015.
Akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wapigakura wake kwenye uwanja wa michezo wa Shule ya Msingi Ilongero, Wilaya ya Singida Vijijini jana, Waziri Nyalandu alisema muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika.
“Muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika, nitachukua hatua ya kuelekea...

 

10 years ago

Michuzi

NYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi mkoani Singida baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua leo. (Picha na Loveness Bernard)
Umati wa watu ukimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua mkoani Singida leo. (Picha na Loveness Bernard) Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (kushoto) akiwa na mkewe Faraja kabla ya kuzungumza na...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI CHENGE, NISINGESUBIRI KUWAJIBISHWA

Andrew Chenge. Kwako Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge.
Najua hunifahamu na hakuna mazingira yanayoweza kutukutanisha pamoja lakini hiyo hainizuii kukufishia ujumbe wangu kwako, najua ‘utamaindi’ lakini ni lazima nikwambie kwa faida yako na ya Watanzania. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Desemba 24, 1947 kama wewe. Sikusoma Shule ya Msingi Zagayu kama wewe. Sikusoma Sekondari ya St. Mary’s Junior...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI PROFESA LIPUMBA, NINGEENDELEA NA HARAKATI

Profesa Ibrahim Haruna Lipumba. Kwako Profesa Ibrahim Haruna Lipumba, mwenyekiti wa taifa wa Chama Cha Wananchi (CUF).
Najua bado unaendelea kuuguza majeraha kutokana na kipigo kikali ulichoshushiwa na polisi siku chache zilizopita pale ulipojaribu kwenda kuwatawanya wafuasi wa chama chako waliotaka kuandamana na kuhudhuria mkutano wako wa hadhara. Najua bado unakabiliwa na kesi ya kuwashawishi wafuasi wako kutenda kosa la...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI KINGUNGE NGOMBALE MWIRU, NINGEJITATHMINI KWANZA

Kingunge Ngombale Mwilu. Heshima yako mzee! Najua una mambo mengi ya kufanya, ukichanganya na umri wako, itakuwa vigumu sana kwa mtu kama mimi kuonana ana kwa ana na wewe. Hiyo ndiyo sababu iliyonifanya niamue kutumia ukurasa huu kufikisha ujumbe wangu kwako. Mheshimiwa, mimi si mwanasiasa mkongwe kama wewe ambaye umeitumikia nchi hii tangu enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mpaka leo hii. Sijawahi kushika nyadhifa...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI SULEIMAN KOVA, NINGETAZAMA UPYA UFANISI WANGU

Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova. Kwako Kamanda wa Kanda Maalum ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku ambayo yanakufanya uwe bize muda mwingi. Najua itakuwa vigumu kuonana na wewe kwa mara nyingine tangu tulipoonana siku ulipotembelea chumba chetu cha habari. Hata hivyo, hiyo hainizuii...

 

10 years ago

GPL

NINGEKUWA MIMI ZITTO KABWE, NINGETAZAMA UPYA NYENDO ZANGU

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe. Kwako Zitto Zuberi Kabwe.
Siku nyingi zimepita tangu tulipoonana mara ya mwisho, siku uliyokuja kutembelea chumba chetu cha habari. Natamani kukutana nawe tena ili nikufikishie ujumbe huu lakini kwa sababu ya ubize ulionao, nadhani itakuwa ngumu! Acha nikufikishie nilichotaka kukwambia kupitia ukurasa huu. Mheshimiwa, mimi sikuzaliwa Septemba 24, 1976 huko Kigoma kama wewe. Wala...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani