Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC: Faini za makosa barabarani ziongezwe

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe ametaka sheria za usalama barabarani, ziangaliwe upya kwa lengo la kuongeza adhabu na faini kwa wanaosababisha ajali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BVR ZIONGEZWE, SIKU ZA KUJIANDIKISHA PIA ZIONGEZWE

Jaji Damian Lubuva. Baada ya kusema hayo niseme kuwa kazi ya kuandikisha wapiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Mkoa wa Dar es Salaam ilianza rasmi wiki iliyopita kwa mfumo wa teknolojia ya utambuzi wa alama za mwili kizingu Biometric Voters Registration -BVR. Kazi hiyo inafanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na inatarajiwa kukamilika Julai 31, mwaka huu.
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Nec, Julius Malaba, wiki...

 

9 years ago

BBCSwahili

Faini barabarani kulipwa kidijitali TZ

Polisi Tanzania wameleta mfumo utakaowezesha wanaopatikana na makosa ya trafiki kulipa faini mara moja kwa njia ya kielektroniki.

 

10 years ago

Habarileo

Faini barabarani zaingiza mabilioni

OPERESHENI ya kukamata madereva wanaofanya makosa ya barabarani, inayoendana na utozaji wa faini nchini, imeliingizia Jeshi la Polisi mabilioni ya shilingi. Akizungumza na gazeti hili juzi, Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alisema mapato yatokanayo na makosa hayo yaliyokusanywa kwa miezi sita mwaka huu, yamezidi makusanyo yote yaliyofanyika mwaka jana.

 

9 years ago

Dewji Blog

Faini zilivyosaidia kupunguza makosa ya ukatili wa kijinsia masokoni

 Katibu wa Soko la Gezaulole lililopo Kiwalani Bomubomu Manispaa ya Ilala, Salum Yusuf (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu changamoto wanazokabiliana nazo za kukomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia sokoni hapo baada ya kuwezeshwa mafunzo ya kupinga ukatili huo na Shirika la Equality for Growth. Kushoto Mwenyekiti wa Soko hilo, Muhidin Waziri.  Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika hilo, Samora Julius akitoa...

 

9 years ago

Mwananchi

Faini za barabarani zaingiza Sh4.1 bilioni Dar

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekusanya kiasi cha Sh4.1 bilioni kutokana na faini za makosa mbalimbali barabarani.

 

9 years ago

Mwananchi

Kifaa cha kulipia faini barabarani kuanza kazi

Kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max malipo, wamezindua kifaa cha kielektoniki cha kufanyia malipo madereva wa magari wanaovunja sheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakaoacha mifugo barabarani Zanzibar kulimwa faini kubwa

Muswada wa Sheria ya kurekebisha Amri ya Barabara umepiti kwa mbinde baada ya kulazimika kupigwa kura kutokana na Mwakilishi wa Muyuni, Jaku Hashim Ayoub kupinga adhabu ya wafugaji kufungwa miezi mitatu jela au kulipa faini ya Sh1 milioni ikiwa wataachia mifugo yao kuzagaa barabarani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makosa ya barabarani yakusanya mil. 144/-

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya  Dar es Salaam, kupitia kikosi cha usalama barabarani limekusanya sh milioni 144.5 kuanzia Aprili  10 hadi 16 mwaka huu kutokana na makosa ya barabarani....

 

9 years ago

Mwananchi

Makosa ya barabarani sasa kulipwa kielektroniki

Jeshi la Polisi  kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max Malipo wamezindua kifaa kipya cha kielektoniki cha  kufanyia  malipo  kwa madereva wa magari waliovunja sheria za usalama barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani