Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kifaa cha kulipia faini barabarani kuanza kazi

Kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max malipo, wamezindua kifaa cha kielektoniki cha kufanyia malipo madereva wa magari wanaovunja sheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

JINSI MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO YA FAINI ZA BARABARANI UNAVYOFANYA KAZI

Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, DCP Mohamed Mpinga. Mfumo wa ulipaji faini za papo kwa hapo kielekitroniki unafanyakazi kama ifuatavyo: Dereva aliyetenda kosa akikamatwa na kutakiwa kulipa faini kwa njia ya kielektroniki, askari ataingiza kwenye mashine taarifa za namba ya usajili wa gari, nambari ya leseni ya dereva, eneo kosa lilipofanyika, kosa lililofanyika na kisha askari atatoa tiketi ya kielektroniki kumpa dereva...

 

10 years ago

Habarileo

RC: Faini za makosa barabarani ziongezwe

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe ametaka sheria za usalama barabarani, ziangaliwe upya kwa lengo la kuongeza adhabu na faini kwa wanaosababisha ajali.

 

10 years ago

Habarileo

Faini barabarani zaingiza mabilioni

OPERESHENI ya kukamata madereva wanaofanya makosa ya barabarani, inayoendana na utozaji wa faini nchini, imeliingizia Jeshi la Polisi mabilioni ya shilingi. Akizungumza na gazeti hili juzi, Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alisema mapato yatokanayo na makosa hayo yaliyokusanywa kwa miezi sita mwaka huu, yamezidi makusanyo yote yaliyofanyika mwaka jana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Faini barabarani kulipwa kidijitali TZ

Polisi Tanzania wameleta mfumo utakaowezesha wanaopatikana na makosa ya trafiki kulipa faini mara moja kwa njia ya kielektroniki.

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yamzawadia askari wa kikosi cha Usalama Barabarani kwa kazi nzuri

Mfanyaakazi wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya Vodacom Albert Maneno (wa tatu kushoto) akiongea kabla ya kukabidhi Sh. 2 milioni kwa askari wa kikosi cha Usalama Barabarani Moses Alphag (wa kwanza kushoto) aliyeibuka kidedea katika program ya kuibua hamasa ya kazi kwa askari hao jijini Dar es salaam iliyoendeshwa na kituo cha Redio Clouds FM. Fedha hizo zimetolewa na wafanyakazi wa Vodacom pamoja na wananchi mbalimbali walioguswa na programu hiyo. Wa kwanza kulia ni Kamanda wa Polisi Kanda...

 

9 years ago

Mwananchi

Faini za barabarani zaingiza Sh4.1 bilioni Dar

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekusanya kiasi cha Sh4.1 bilioni kutokana na faini za makosa mbalimbali barabarani.

 

10 years ago

Michuzi

KIVUKO CHA MV. KIGAMBONI KUANZA KAZI KESHO KUTWA

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Watendaji mbalimbali hawapo pichani kutoka, Wizara ya Ujenzi, TEMESA na Kikosi cha Maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambao wamefanya kazi kubwa ya ukarabati wa Kivuko cha MV Kigamboni. Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda ngazi kwenda kukagua Kivuko cha MV Kigamboni ambacho matengenezo yake makubwa yanakamilika leo. Luteni Kanali Gwanafi kulia akimuongoza Waziri wa Ujenzi ...

 

11 years ago

Mwananchi

Watakaoacha mifugo barabarani Zanzibar kulimwa faini kubwa

Muswada wa Sheria ya kurekebisha Amri ya Barabara umepiti kwa mbinde baada ya kulazimika kupigwa kura kutokana na Mwakilishi wa Muyuni, Jaku Hashim Ayoub kupinga adhabu ya wafugaji kufungwa miezi mitatu jela au kulipa faini ya Sh1 milioni ikiwa wataachia mifugo yao kuzagaa barabarani.

 

11 years ago

Mwananchi

Kulipa faini kisasa mbioni kuanza

Mpango wa kulipia faini za makosa ya barabarani kwa kutumia mitandao ya simu na benki nchini upo katika hatua za mwisho na wakati wowote kuanzia sasa utaanza kutekelezwa lengo likiwa kudhibiti vitendo vya rushwa miongoni mwa askari wa kikosi hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani