Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JINSI MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO YA FAINI ZA BARABARANI UNAVYOFANYA KAZI

Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, DCP Mohamed Mpinga. Mfumo wa ulipaji faini za papo kwa hapo kielekitroniki unafanyakazi kama ifuatavyo: Dereva aliyetenda kosa akikamatwa na kutakiwa kulipa faini kwa njia ya kielektroniki, askari ataingiza kwenye mashine taarifa za namba ya usajili wa gari, nambari ya leseni ya dereva, eneo kosa lilipofanyika, kosa lililofanyika na kisha askari atatoa tiketi ya kielektroniki kumpa dereva...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kifaa cha kulipia faini barabarani kuanza kazi

Kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max malipo, wamezindua kifaa cha kielektoniki cha kufanyia malipo madereva wa magari wanaovunja sheria.

 

9 years ago

Michuzi

FAHAMU KUHUSU MFUMO WA NGUVU ZA KIUME NA JINSI UNAVYO FANYA KAZI

Unasumbuliwa  na  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume  ?Unahitaji  kupata  tiba  sahihi  na  ya  uhakika  ya  tatizo  lako ?  Kama  jibu  ni  NDIO  basi  hii  ni  HABARI  NJEMA  SANA   kwako.
NEEMA  HERBALIST  &  NUTRITIONAL FOODS  CLINIC    ni  duka  linalo  uza  dawa  mbalimbali  za  asili.  Tunayo  dawa  asilia iitwayo  JIKO  ambayo  inatibu  na  kuponyesha  kabisa  tatizo  la  ukosefu  na  upungufu  wa  nguvu  za  kiume.  Dawa  hii  ni  ya  asili  kabisa, isiyo  na...

 

9 years ago

Michuzi

MFUMO WA KIELETRONIKI KURATIBU SHUGHULI ZA SERIKALI - MH. MHAGAMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (Mb), akisisitiza umuhimu wa kutafuta majibu ya maswali kwa wakati yaliyoelekezwa Serikalini kipindi cha Bunge wakati alipokutana na Maafisa wa Bunge wa Wizara za Tanzania Bara leo, Tarehe 23 Desemba, 2015, Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maafisa Bunge kutoka Wizara za Tanzania Bara wakiendelea na uchambuzi wa maswali yaliyoelekezwa serikalini kipindi cha Bunge leo, Tarehe 23...

 

9 years ago

Michuzi

ULIPAJI WA MAKOSA YA BARABARANI KWA NJIA YA KIELETRONIKI KUANZA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii KIKOSI cha Usalama Barabarani kimeanzisha mbinu mpya za ulipaji wa makosa ya barabarani kwa njia ya Mtandao kupitia kampuni ya Max Malipo pamoja na baadhi ya benki. Kuazishwa kwa mashine hizo imetokana na kuwepo kwa malalamiko ya madereva juu ya kupata risti ambazo si halali. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP,Mohamed Mpinga amesema kuwa kwa kuanzia majaribio kwa Mkoa wa Dar es Salaam...

 

10 years ago

Habarileo

RC: Faini za makosa barabarani ziongezwe

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe ametaka sheria za usalama barabarani, ziangaliwe upya kwa lengo la kuongeza adhabu na faini kwa wanaosababisha ajali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Faini barabarani kulipwa kidijitali TZ

Polisi Tanzania wameleta mfumo utakaowezesha wanaopatikana na makosa ya trafiki kulipa faini mara moja kwa njia ya kielektroniki.

 

10 years ago

Habarileo

Faini barabarani zaingiza mabilioni

OPERESHENI ya kukamata madereva wanaofanya makosa ya barabarani, inayoendana na utozaji wa faini nchini, imeliingizia Jeshi la Polisi mabilioni ya shilingi. Akizungumza na gazeti hili juzi, Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alisema mapato yatokanayo na makosa hayo yaliyokusanywa kwa miezi sita mwaka huu, yamezidi makusanyo yote yaliyofanyika mwaka jana.

 

9 years ago

Mwananchi

Faini za barabarani zaingiza Sh4.1 bilioni Dar

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekusanya kiasi cha Sh4.1 bilioni kutokana na faini za makosa mbalimbali barabarani.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakaoacha mifugo barabarani Zanzibar kulimwa faini kubwa

Muswada wa Sheria ya kurekebisha Amri ya Barabara umepiti kwa mbinde baada ya kulazimika kupigwa kura kutokana na Mwakilishi wa Muyuni, Jaku Hashim Ayoub kupinga adhabu ya wafugaji kufungwa miezi mitatu jela au kulipa faini ya Sh1 milioni ikiwa wataachia mifugo yao kuzagaa barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani