ULIPAJI WA MAKOSA YA BARABARANI KWA NJIA YA KIELETRONIKI KUANZA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.
![](http://3.bp.blogspot.com/-nP5hbfbeaQE/Vfmyw8RogLI/AAAAAAAH5Zw/Fc2WwGkkUMQ/s72-c/unnamed%2B%252849%2529.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii KIKOSI cha Usalama Barabarani kimeanzisha mbinu mpya za ulipaji wa makosa ya barabarani kwa njia ya Mtandao kupitia kampuni ya Max Malipo pamoja na baadhi ya benki. Kuazishwa kwa mashine hizo imetokana na kuwepo kwa malalamiko ya madereva juu ya kupata risti ambazo si halali. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP,Mohamed Mpinga amesema kuwa kwa kuanzia majaribio kwa Mkoa wa Dar es Salaam...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Oct
Vikao vya kamati za kudumu za Bunge kuanza kesho jijini Dar es Salaam
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba 2014. Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RQR4n6nY3AI/VWG49OIdmWI/AAAAAAAHZgo/Vo_bf5lq2eg/s72-c/images.jpg)
WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA KUANZA RASMI KESHO MAKUMBUSHO YA TAIFA NA NYUMBA YA UTAMADUNI JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://1.bp.blogspot.com/-RQR4n6nY3AI/VWG49OIdmWI/AAAAAAAHZgo/Vo_bf5lq2eg/s640/images.jpg)
Wiki hii itaanza tarehe 25 Mei ya kila mwaka husherehekewa kwa njia mbalimbali ndania na nje ya Bara la Afrika kukumbuka siku ambayo viongozi wa nchi za kiafrika ambazo tayari zilikuwa huru walikutana waka 1963 na kuanzisha Umoja wa...
9 years ago
MichuziMKUTANO WA NNE WA BARA LA AFRIKA KUJADILI MIPANGO ENDELEVU NA MAFUNZO KUANZA KUFANYIKA KESHO HOTELI YA GIRRAFE JIJINI DAR ES SALAAM
Mkutano huo ambao utashirikisha nchi mbalimbali tisa unatarajiwa kuhudhuriwa na wageni 50 kutoka katika nchi hizo za Afrika.
Akizungumza na waaandishi wa habari kuhusu Dar es Salaam jana kuhusu mkutano huo, Meneja Mipango wa Ofisi ya Maendeleo...
10 years ago
MichuziRAIA WATATU WA KIGENI WAKAMATWA KWA MAKOSA YA WIZI WA MTANDAO KATIKA MABENKI JIJINI DAR ES SALAAM.
Polisi wa kikosi Maalum cha kupambana na wizi wa mtandao (Cyber Crime) walipata taarifa za kuaminika kwamba watu hao watatu walikuwa katika mazingira ya kutiliwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qcO4EDD_hYM/VSaiJlMXZbI/AAAAAAAC3AM/1JuEzoJkspI/s72-c/1.jpg)
AIRTEL NA NMB WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://2.bp.blogspot.com/-qcO4EDD_hYM/VSaiJlMXZbI/AAAAAAAC3AM/1JuEzoJkspI/s1600/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-IOD3SpnVUdE/VSaiiQAGOnI/AAAAAAAC3Ac/Z4D4YBZmHNs/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-BJo6fFWiuVI/VSaiebYaCwI/AAAAAAAC3AU/ODGrzZF2VL0/s1600/3.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2Vo2yc47_TA/VdLnAlFXeUI/AAAAAAAHx9Y/rtqGIa06_fo/s72-c/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
Dk Massaburi afurahia kuanza kwa huduma ya mabasi ya DART jijini Dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-2Vo2yc47_TA/VdLnAlFXeUI/AAAAAAAHx9Y/rtqGIa06_fo/s640/unnamed%2B%25286%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-qZ9WqkUXq4w/VdLnAyU1vSI/AAAAAAAHx9c/HM4DyE5g_X4/s640/unnamed%2B%25287%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-jsD5bW_xbBs/VdLnBrRAGuI/AAAAAAAHx90/Av0iTdZ1-rU/s640/unnamed%2B%25289%2529.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-qjoUUPoJEUE/UxnBgMh0HaI/AAAAAAAFRvQ/1YBh-_nsaoY/s72-c/unnamed1.jpg)
ndege nyingine ya atc yatua dar es salaam, kuanza kazi kesho
![](http://2.bp.blogspot.com/-qjoUUPoJEUE/UxnBgMh0HaI/AAAAAAAFRvQ/1YBh-_nsaoY/s1600/unnamed1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-7bX92PpgbVI/UxnBgGsMjkI/AAAAAAAFRvM/k6L5IkF5Eeo/s1600/unnamed.jpg)
10 years ago
GPLMIFUGO YANASWA IKITEMBEA BARABARANI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi21 Jul
WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/169.jpg)
![????????????????????????????????????](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/355.jpg)