Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIFUGO YANASWA IKITEMBEA BARABARANI JIJINI DAR ES SALAAM

Mbuzi wakiwa kandokando ya barabara ya Kawawa. MCHANA huu kamera yetu imewanasa mbuzi wakitembea kando ya barabara ya Kawawa, jijini Dar es Salaam eneo la Msimbazi ikiwa haina mwangalizi,  jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wa barabara hiyo, hasa wanaotumia vyombo vya moto. Na Gabriel…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

???????????????????????????????????? Kamishina Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Johansen Kahatano akifungua rasmi warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la AMEND na kufadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya EU warsha hiyo imefanyika kwenye jengo la Umoja House jijini Dar es salaam.????????????????????????????????????Gianluca Azzon Mwakilishi wa EU Nchini Tanzania akiwasilisha mada katika warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo...

 

9 years ago

Michuzi

ULIPAJI WA MAKOSA YA BARABARANI KWA NJIA YA KIELETRONIKI KUANZA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii KIKOSI cha Usalama Barabarani kimeanzisha mbinu mpya za ulipaji wa makosa ya barabarani kwa njia ya Mtandao kupitia kampuni ya Max Malipo pamoja na baadhi ya benki. Kuazishwa kwa mashine hizo imetokana na kuwepo kwa malalamiko ya madereva juu ya kupata risti ambazo si halali. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP,Mohamed Mpinga amesema kuwa kwa kuanzia majaribio kwa Mkoa wa Dar es Salaam...

 

10 years ago

GPL

WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM‏

Kamishina Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Johansen Kahatano akifungua rasmi warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la AMEND na kufadhiliwa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya EU warsha hiyo imefanyika kwenye jengo la Umoja House jijini Dar es salaam. Gianluca Azzon Mwakilishi wa EU Nchini Tanzania akiwasilisha mada katika...

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...

 

10 years ago

Michuzi

klabu za michezo za maveterani Dar es salaam kurehemu marehemu Jumatatu (Mapinduzi Day) Leaders club, Kinondoni, jijini Dar es salaam

Umoja wa klabu za michezo za maveterani Dar es salaam,  chini ya uratibu wa klabu za Singasinga na Tazara,  unatangaza rasmi kwamba  shughuli ya kurehemu wanachama wenzetu ambao wametangulia mbele ya haki itafanyika JUMATATU 12/1/2015, ikiwa pia ni  sehemu ya kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi.
Ratiba itaanza  Saa 7 mchana katika viwanja vya Leaders club jijini Dar es salaam. Dua zitafanyika  kutoka kwa Father Oscar na Sheikh Kipoozeo. Dua hizo zitafuatiwa na Chakula cha pamoja cha mchana...

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM


Mwili wa Marehemu Sydney Damson ambaye aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Dar es Salaam(sasa kikijulikana Taasisi ya Uhasibu Tanzania) ukiwasili nyumbani kwake Tandika Magorofani, Wilayani Temeke tayari kwa taratibu za kuaga kabla ya kwenda mazikoni.Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Mchungaji Mwakalinga(kushoto) akiendesha Ibada Maalum ya kumuombea Marehemu Sydney Damson kabla ya zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu kuanza nyumbani kwake Tandika Magorofani leo Julai 27, 2014 Temeke Jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Mazengo: Familia inayoishi barabarani jijini Dar

Ni saa 12:00 asubuhi. Watoto wadogo watatu wanakusanyika pamoja na wazazi wao katika moja ya baraza la maduka yaliyopo eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Watakaoacha mifugo barabarani Zanzibar kulimwa faini kubwa

Muswada wa Sheria ya kurekebisha Amri ya Barabara umepiti kwa mbinde baada ya kulazimika kupigwa kura kutokana na Mwakilishi wa Muyuni, Jaku Hashim Ayoub kupinga adhabu ya wafugaji kufungwa miezi mitatu jela au kulipa faini ya Sh1 milioni ikiwa wataachia mifugo yao kuzagaa barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani