Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakaoacha mifugo barabarani Zanzibar kulimwa faini kubwa

Muswada wa Sheria ya kurekebisha Amri ya Barabara umepiti kwa mbinde baada ya kulazimika kupigwa kura kutokana na Mwakilishi wa Muyuni, Jaku Hashim Ayoub kupinga adhabu ya wafugaji kufungwa miezi mitatu jela au kulipa faini ya Sh1 milioni ikiwa wataachia mifugo yao kuzagaa barabarani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Faini barabarani zaingiza mabilioni

OPERESHENI ya kukamata madereva wanaofanya makosa ya barabarani, inayoendana na utozaji wa faini nchini, imeliingizia Jeshi la Polisi mabilioni ya shilingi. Akizungumza na gazeti hili juzi, Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, alisema mapato yatokanayo na makosa hayo yaliyokusanywa kwa miezi sita mwaka huu, yamezidi makusanyo yote yaliyofanyika mwaka jana.

 

10 years ago

Habarileo

RC: Faini za makosa barabarani ziongezwe

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe ametaka sheria za usalama barabarani, ziangaliwe upya kwa lengo la kuongeza adhabu na faini kwa wanaosababisha ajali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Faini barabarani kulipwa kidijitali TZ

Polisi Tanzania wameleta mfumo utakaowezesha wanaopatikana na makosa ya trafiki kulipa faini mara moja kwa njia ya kielektroniki.

 

9 years ago

Mwananchi

Faini za barabarani zaingiza Sh4.1 bilioni Dar

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekusanya kiasi cha Sh4.1 bilioni kutokana na faini za makosa mbalimbali barabarani.

 

10 years ago

GPL

MIFUGO YANASWA IKITEMBEA BARABARANI JIJINI DAR ES SALAAM

Mbuzi wakiwa kandokando ya barabara ya Kawawa. MCHANA huu kamera yetu imewanasa mbuzi wakitembea kando ya barabara ya Kawawa, jijini Dar es Salaam eneo la Msimbazi ikiwa haina mwangalizi,  jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wa barabara hiyo, hasa wanaotumia vyombo vya moto. Na Gabriel…

 

9 years ago

Mwananchi

Kifaa cha kulipia faini barabarani kuanza kazi

Kikosi cha Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Kampuni ya Max malipo, wamezindua kifaa cha kielektoniki cha kufanyia malipo madereva wa magari wanaovunja sheria.

 

9 years ago

GPL

JINSI MFUMO WA KIELETRONIKI WA MALIPO YA FAINI ZA BARABARANI UNAVYOFANYA KAZI

Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani, DCP Mohamed Mpinga. Mfumo wa ulipaji faini za papo kwa hapo kielekitroniki unafanyakazi kama ifuatavyo: Dereva aliyetenda kosa akikamatwa na kutakiwa kulipa faini kwa njia ya kielektroniki, askari ataingiza kwenye mashine taarifa za namba ya usajili wa gari, nambari ya leseni ya dereva, eneo kosa lilipofanyika, kosa lililofanyika na kisha askari atatoa tiketi ya kielektroniki kumpa dereva...

 

5 years ago

Michuzi

SOKO KUBWA LA MAZAO NA MNADA WA MIFUGO KUANZISHWA KYERWA.

Na Abdullatif Yunus wa Michuzi TV.

Halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa inajipanga kujenga Soko la Mazao na  Mnada wa Mifugo katika Kata ya Murongo Wilayani Kyerwa  lenye thamani ya Shilingi 114, 549,996 lengo likiwa ni kudhibiti biashara ya magendo ya usafirishaji na uuzaji wa mazao na mifugo kwa njia zisizokuwa halali.

Mpango huo ni miongoni  mwa vipaumbele ambavyo vimebainishwa katika Mpango na Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2020-2021, uliowasilishwa katika Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo,...

 

10 years ago

GPL

GARI KUBWA LAHARIBIKIA BARABARANI

Sehemu ya mzigo ukihamishwa kutoka gari lililoharibika. KAMERA ya GPL imeshuhudia gari kubwa likiwa limeharibika katikati ya barabara maeneo ya Tabata na kusababisha foleni kwa muda  huku askari wa usalama barabarani kwa kushirikiana wadau wakifanya jitihada za kuhamisha mzigo  ya gari hilo ili kutokusababisha foleni. (PICHA: GABRIEL…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani