BVR ZIONGEZWE, SIKU ZA KUJIANDIKISHA PIA ZIONGEZWE
![](http://api.ning.com:80/files/VittCBMQg0LNLrXpqsYWsJ3NKgMU6Hs6Z7B0HggYYGqTQGktCKKx8TbASq*5tjWKewNN1UUyqz2El4Erad1X11EN689qzEDX/Mwenyekiti.jpg?width=650)
Jaji Damian Lubuva. Baada ya kusema hayo niseme kuwa kazi ya kuandikisha wapiga kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika Mkoa wa Dar es Salaam ilianza rasmi wiki iliyopita kwa mfumo wa teknolojia ya utambuzi wa alama za mwili kizingu Biometric Voters Registration -BVR. Kazi hiyo inafanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na inatarajiwa kukamilika Julai 31, mwaka huu. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Nec, Julius Malaba, wiki...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Tunu za taifa ziongezwe -Vijana
BAADHI ya vijana nchini wamewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupigania tunu za taifa ziongezwe katika ibara ya kwanza kifungu cha tano. Tunu ambazo wametaka ziongezwe ni ardhi na...
10 years ago
Habarileo24 Sep
RC: Faini za makosa barabarani ziongezwe
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe ametaka sheria za usalama barabarani, ziangaliwe upya kwa lengo la kuongeza adhabu na faini kwa wanaosababisha ajali.
10 years ago
Habarileo13 Apr
CCM Z’bar wahamasishwa kujiandikisha BVR
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ambalo litaanza kuandikisha wapiga kura wapya mapema mwezi ujao.
10 years ago
Habarileo11 Aug
Kanisa lazuia 4,000 kujiandikisha BVR
ZAIDI ya waumini 4,000 wa Kanisa kongwe la Watch Tower lenye umri wa zaidi ya miaka 100, wamenyimwa haki yao ya msingi ya kikatiba ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo08 Jul
Kikwete ahimiza Watanzania kujiandikisha BVR
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kujiandikisha, vinginevyo wasije kushangaa watakapochaguliwa viongozi wasiofaa.
10 years ago
Habarileo28 May
Wengi washindwa kujiandikisha kwa BVR
WATU wengi wameshindwa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia mashine za kisasa (BVR), licha ya kukaa vituoni muda mrefu.
10 years ago
Habarileo19 Jul
Ukerewe yavuka lengo kujiandikisha BVR
HALMASHAURI ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza imeandikisha wananchi 162,883 katika daftari la kudumu la wapiga kura.
10 years ago
Habarileo31 Jul
Wageni 2,000 matatani kwa kujiandikisha BVR
IDARA ya Uhamiaji nchini imetoa onyo kwa raia wa kigeni watakaobainika kuwa na vitambulisho vya kupigakura baada ya kubaini raia hao zaidi ya 2,000 kuwa na vitambulisho hivyo katika msako unaofanywa na maofisa wao kwenye miji iliyo mipakani hapa nchini.
10 years ago
Habarileo10 Jun
Pwani kuanza kujiandikisha ndani ya BVR Juni 14
SHUGHULI ya kuandikisha wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Pwani inatarajiwa kuanza Juni 14 mwaka huu kwa watu wenye sifa wakiwemo.