Kikwete ahimiza Watanzania kujiandikisha BVR
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kujiandikisha, vinginevyo wasije kushangaa watakapochaguliwa viongozi wasiofaa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo03 May
RC ahimiza kujiandikisha daftari la wapigakura
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe amewahimiza wananchi wenye sifa wakiwemo wafanyakazi kujitokeza kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.
10 years ago
Habarileo19 Jul
Ukerewe yavuka lengo kujiandikisha BVR
HALMASHAURI ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza imeandikisha wananchi 162,883 katika daftari la kudumu la wapiga kura.
10 years ago
Habarileo28 May
Wengi washindwa kujiandikisha kwa BVR
WATU wengi wameshindwa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia mashine za kisasa (BVR), licha ya kukaa vituoni muda mrefu.
10 years ago
Habarileo11 Aug
Kanisa lazuia 4,000 kujiandikisha BVR
ZAIDI ya waumini 4,000 wa Kanisa kongwe la Watch Tower lenye umri wa zaidi ya miaka 100, wamenyimwa haki yao ya msingi ya kikatiba ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Habarileo13 Apr
CCM Z’bar wahamasishwa kujiandikisha BVR
WANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ambalo litaanza kuandikisha wapiga kura wapya mapema mwezi ujao.
10 years ago
Habarileo10 Jun
Pwani kuanza kujiandikisha ndani ya BVR Juni 14
SHUGHULI ya kuandikisha wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Pwani inatarajiwa kuanza Juni 14 mwaka huu kwa watu wenye sifa wakiwemo.
10 years ago
Habarileo31 Jul
Wageni 2,000 matatani kwa kujiandikisha BVR
IDARA ya Uhamiaji nchini imetoa onyo kwa raia wa kigeni watakaobainika kuwa na vitambulisho vya kupigakura baada ya kubaini raia hao zaidi ya 2,000 kuwa na vitambulisho hivyo katika msako unaofanywa na maofisa wao kwenye miji iliyo mipakani hapa nchini.
10 years ago
Habarileo10 Jun
150 kortini kwa kujiandikisha mara mbili BVR
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
10 years ago
Mtanzania10 Jun
152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...