150 kortini kwa kujiandikisha mara mbili BVR
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-SMxvlEYYdVU/VXmK2G-nCxI/AAAAAAABhhw/iSms9f08s50/s72-c/Sisti-10June2015.jpg)
150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA MFUMO MPYA BVR
![](http://2.bp.blogspot.com/-SMxvlEYYdVU/VXmK2G-nCxI/AAAAAAABhhw/iSms9f08s50/s400/Sisti-10June2015.jpg)
Aidha, imeeleza kuwa kata 130 zimeongezeka kutokana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufanya mabadiliko ya kiutawala katika kata, vijiji,vitongoji na Mitaa hivyo kulazimu NEC kuhairisha kwa wiki moja uandikishaji wa daftari uliokuwa ukianza jana kwa baadhi...
10 years ago
Mtanzania10 Jun
152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Adaiwa kujiandikisha mara mbili Daftari la Wapigakura
10 years ago
Mwananchi10 Jun
Watu 100 matatani kujiandikisha mara mbili kupiga kura
10 years ago
Habarileo28 May
Wengi washindwa kujiandikisha kwa BVR
WATU wengi wameshindwa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia mashine za kisasa (BVR), licha ya kukaa vituoni muda mrefu.
10 years ago
Habarileo31 Jul
Wageni 2,000 matatani kwa kujiandikisha BVR
IDARA ya Uhamiaji nchini imetoa onyo kwa raia wa kigeni watakaobainika kuwa na vitambulisho vya kupigakura baada ya kubaini raia hao zaidi ya 2,000 kuwa na vitambulisho hivyo katika msako unaofanywa na maofisa wao kwenye miji iliyo mipakani hapa nchini.
10 years ago
MichuziWANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR
Wakizungumza na Globu ya Jamii kwa nyakati tofauti walisema zoezi linaenda vizuri lakini linakabiliwa na changamoto chache ambazo zikitatuliwa wananchi wote watajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Akizungumzia suala kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ,Salumu Abbakari Mkazi wa...
10 years ago
Michuzi10 Jun
10 years ago
Habarileo19 Jul
Ukerewe yavuka lengo kujiandikisha BVR
HALMASHAURI ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza imeandikisha wananchi 162,883 katika daftari la kudumu la wapiga kura.