Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wageni 2,000 matatani kwa kujiandikisha BVR

IDARA ya Uhamiaji nchini imetoa onyo kwa raia wa kigeni watakaobainika kuwa na vitambulisho vya kupigakura baada ya kubaini raia hao zaidi ya 2,000 kuwa na vitambulisho hivyo katika msako unaofanywa na maofisa wao kwenye miji iliyo mipakani hapa nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kanisa lazuia 4,000 kujiandikisha BVR

ZAIDI ya waumini 4,000 wa Kanisa kongwe la Watch Tower lenye umri wa zaidi ya miaka 100, wamenyimwa haki yao ya msingi ya kikatiba ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Wengi washindwa kujiandikisha kwa BVR

WATU wengi wameshindwa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia mashine za kisasa (BVR), licha ya kukaa vituoni muda mrefu.

 

10 years ago

Mtanzania

152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR

NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...

 

10 years ago

Habarileo

150 kortini kwa kujiandikisha mara mbili BVR

 Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Dk Sisti CariahTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).

 

10 years ago

Michuzi

150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA MFUMO MPYA BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
Aidha, imeeleza kuwa kata 130 zimeongezeka kutokana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufanya mabadiliko ya kiutawala katika kata, vijiji,vitongoji na Mitaa hivyo kulazimu NEC kuhairisha kwa wiki moja uandikishaji wa daftari uliokuwa ukianza jana kwa baadhi...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWANANCHI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwa mfumo wa BVR lililoanza leo.
Wakizungumza na Globu ya Jamii kwa nyakati tofauti walisema zoezi linaenda vizuri lakini linakabiliwa na changamoto chache ambazo zikitatuliwa wananchi wote watajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Akizungumzia suala kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ,Salumu Abbakari Mkazi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 100 matatani kujiandikisha mara mbili kupiga kura

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema inakusudia kuwafikisha mahakamani wananchi zaidi ya 100 wa Mkoa wa Njombe kwa madai ya kujiandikisha zaidi ya mara moja kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

10 years ago

Habarileo

CCM Z’bar wahamasishwa kujiandikisha BVR

Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Zanzibar, Vuai Ali VuaiWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wametakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura ambalo litaanza kuandikisha wapiga kura wapya mapema mwezi ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete ahimiza Watanzania kujiandikisha BVR

Rais Jakaya Kikwete akijiandikisha katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektroniki (Biometric Voters Register -BVR) katika kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kulia ni mwandikishaji msaidizi, Happyness Misana, Ofisa TEHAMA kutoka Ofisi ya Tume ya Taifa Uchaguzi (NEC), Mariam Rajabu (katikati) na Mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete (kushoto mwenye baraghashia). (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kujiandikisha, vinginevyo wasije kushangaa watakapochaguliwa viongozi wasiofaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani