Watu 100 matatani kujiandikisha mara mbili kupiga kura
>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema inakusudia kuwafikisha mahakamani wananchi zaidi ya 100 wa Mkoa wa Njombe kwa madai ya kujiandikisha zaidi ya mara moja kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboNEC YAKABIDHI POLISI MAJINA YA WATU 52,078 WALIOJIANDIKISHA ZAIDI YA MARA MBILI KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Mkurugenzi wa Idara ya Daftari la mpiga kura, Dk. Sisti...
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Adaiwa kujiandikisha mara mbili Daftari la Wapigakura
10 years ago
Habarileo10 Jun
150 kortini kwa kujiandikisha mara mbili BVR
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
10 years ago
Mtanzania10 Jun
152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...
10 years ago
Bongo Movies08 Jul
Johari Ahamasisha Kujiandikisha Kupiga Kura
Staa wa Bongo Movies, Blandina Chagula ‘Johari’ ambaye ni kada mwaminifu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amehamasisha watu wajitokeze kujiandijisha kwenye daftari la wapiga kura.
“Tujiandikishe kupiga kura” Johari aliandika hayo kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa Davina siku muigizaji mwezao Steve nyeye alipokuwa anatangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo la Kindondoni kupitia cha cha mapinduzi.
10 years ago
GPLCHADEMA YAZIDI KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA KUPIGA KURA
10 years ago
Habarileo20 Apr
Askofu Ruwa’ich aagiza waumini kujiandikisha kupiga kura
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, Jude Thadei Ruwa’ich amewasisitiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura litakapofika mkoani hapa ili waweze kupiga kura na kuchagua kiongozi wanayemtaka wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.
10 years ago
Dewji Blog14 May
Wananchi wenye sifa ya kupiga kura Mkalama washauriwa kujiandikisha
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama mkoa wa Singida,James John Mkwenga,akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika kijiji cha Nduguti.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Asma Seif na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Mkalama,Cusbert Mwinuka.
Mkuu wa wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Edward Ole Lenga, akizungumza mbele ya kikao cha kawaida cha baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Mkalama. Ele Lenga alitumia nafasi hiyo kuagiza...
10 years ago
Michuzi10 Jun