Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


152 mbaroni kwa kujiandikisha mara mbili BVR

NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, limewatia mbaroni watu 152 wa Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa elektroniki (BVR).
Akizungumza jana na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi wa NEC, Dk. Sisti Cariah, alisema watuhumiwa hao walinaswa kupitia vifaa maalumu na watashtakiwa kwa kosa la jinai ili iwe fundisho kwa wengine.
Alisema mfumo mpya wa BVR...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

150 kortini kwa kujiandikisha mara mbili BVR

 Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Dk Sisti CariahTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).

 

10 years ago

Michuzi

150 KORTINI KWA KUJIANDIKISHA MARA MBILI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGAKURA KWA MFUMO MPYA BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema watu 152 watafikishwa mahakamani mkoani Njombe kutokana na kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo mpya wa ‘Biometric Voter Registration Kit’ (BVR).
Aidha, imeeleza kuwa kata 130 zimeongezeka kutokana na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kufanya mabadiliko ya kiutawala katika kata, vijiji,vitongoji na Mitaa hivyo kulazimu NEC kuhairisha kwa wiki moja uandikishaji wa daftari uliokuwa ukianza jana kwa baadhi...

 

10 years ago

Mwananchi

Adaiwa kujiandikisha mara mbili Daftari la Wapigakura

Mbeya. Mkazi wa Kijiji cha Mpandapanda Kata ya Kiwira wilayani Rungwe, anahojiwa na vyombo vya usalama kwa tuhuma za kujiandikisha mara mbili katika Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

10 years ago

Mwananchi

Watu 100 matatani kujiandikisha mara mbili kupiga kura

>Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema inakusudia kuwafikisha mahakamani wananchi zaidi ya 100 wa Mkoa wa Njombe kwa madai ya kujiandikisha zaidi ya mara moja kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura.

 

10 years ago

Habarileo

Wengi washindwa kujiandikisha kwa BVR

WATU wengi wameshindwa kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapigakura kwa kutumia mashine za kisasa (BVR), licha ya kukaa vituoni muda mrefu.

 

10 years ago

Habarileo

Wageni 2,000 matatani kwa kujiandikisha BVR

IDARA ya Uhamiaji nchini imetoa onyo kwa raia wa kigeni watakaobainika kuwa na vitambulisho vya kupigakura baada ya kubaini raia hao zaidi ya 2,000 kuwa na vitambulisho hivyo katika msako unaofanywa na maofisa wao kwenye miji iliyo mipakani hapa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Mbaroni kwa kuhujumu BVR

MTU mmoja anashikiliwa na Polisi kwa kujifanya ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huku akidaiwa kushirikiana na watu wengine wasiohusika na uandikishaji katika Daftari la Kudumu la Wapigakura, kuhujumu mfumo wa mashine za BVR mkoani Mwanza.

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWANANCHI wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura kwa mfumo wa BVR lililoanza leo.
Wakizungumza na Globu ya Jamii kwa nyakati tofauti walisema zoezi linaenda vizuri lakini linakabiliwa na changamoto chache ambazo zikitatuliwa wananchi wote watajiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura.
Akizungumzia suala kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura ,Salumu Abbakari Mkazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani