Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Faini zilivyosaidia kupunguza makosa ya ukatili wa kijinsia masokoni

 Katibu wa Soko la Gezaulole lililopo Kiwalani Bomubomu Manispaa ya Ilala, Salum Yusuf (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu changamoto wanazokabiliana nazo za kukomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia sokoni hapo baada ya kuwezeshwa mafunzo ya kupinga ukatili huo na Shirika la Equality for Growth. Kushoto Mwenyekiti wa Soko hilo, Muhidin Waziri.  Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika hilo, Samora Julius akitoa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Pengo: Sheria za makosa ya ukatili wa kijinsia zina walakini

Wakati kesho Tanzania inazindua kampeni ya kuzuia ukatili wa kijinsia, Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo amesema sheria dhidi ya makosa hayo zina walakini ambao unahitaji kufanyiwa marekebisho ili kumlinda mtoto wa kike.

 

11 years ago

Michuzi

mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto

 Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mery Nzuki, akitoa neno mbele ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto mafunzo yanayotolewa kwa maofisa na askari wa Jeshi la Polisi kutoka katika mkoa wa kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mafunzo hayo yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi katika kazi. Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano ya namna ya...

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto

 Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, akitoa neno mbele ya washiriki askari Polisi na wadau wengine wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto yaliyofanyika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma,wakati akifunga rasmi mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano.Washiriki wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto wakiwa...

 

10 years ago

Habarileo

RC: Faini za makosa barabarani ziongezwe

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe ametaka sheria za usalama barabarani, ziangaliwe upya kwa lengo la kuongeza adhabu na faini kwa wanaosababisha ajali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia ukomeshwe

MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tuungane kupinga ukatili wa kijinsia’

>Jamii imetakiwa kufanya jitihada za kutosha kuhakikisha vitendo vya ukatili wa kijinsia vinakomeshwa badala ya kuwaachia jukumu hilo wanasiasa pekee.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia unakandamiza wanawake

UKATILI wa kijinsia ni msemo mpana sana. Unagusa binadamu wote wanawake na wanaume. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba ukatili wa kijinsia unawaathiri kwa asilimia kubwa wanawake na wasichana kuliko ilivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanamke anayepambana na ukatili wa kijinsia

Ukiumwa na nyoka ukiona unyasi unashtuka ,ndivyo ilivyokuwa kwa Rhobi Pristiana Samwel (42)mratibu wa nyumba salama iliyo chini ya Kanisa la Anglikana Mugumu Serengeti Dayosisi ya Mara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukatili wa kijinsia jeshini ukomeshwe

Waziri wa ulinzi wa Marekani Chuck Hagel amesema wizara yake imepiga hatua katika kukomesha ukatili wa kijinsia jeshini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani