Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pengo: Sheria za makosa ya ukatili wa kijinsia zina walakini

Wakati kesho Tanzania inazindua kampeni ya kuzuia ukatili wa kijinsia, Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo amesema sheria dhidi ya makosa hayo zina walakini ambao unahitaji kufanyiwa marekebisho ili kumlinda mtoto wa kike.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Faini zilivyosaidia kupunguza makosa ya ukatili wa kijinsia masokoni

 Katibu wa Soko la Gezaulole lililopo Kiwalani Bomubomu Manispaa ya Ilala, Salum Yusuf (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu changamoto wanazokabiliana nazo za kukomesha vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia sokoni hapo baada ya kuwezeshwa mafunzo ya kupinga ukatili huo na Shirika la Equality for Growth. Kushoto Mwenyekiti wa Soko hilo, Muhidin Waziri.  Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika hilo, Samora Julius akitoa...

 

11 years ago

Michuzi

mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto

 Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Mery Nzuki, akitoa neno mbele ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano (hawapo pichani) ya namna ya kukabiliana na makosa ya ukatili wa kijinsia na watoto mafunzo yanayotolewa kwa maofisa na askari wa Jeshi la Polisi kutoka katika mkoa wa kipolisi wa Kinondoni jijini Dar es salaam ambapo mafunzo hayo yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo na kuongeza ufanisi katika kazi. Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya siku tano ya namna ya...

 

11 years ago

Habarileo

‘Mcharuko’ ukatili wa kijinsia chanzo ukosefu wa sheria

KUKOSEKANA kwa sheria maalumu inayozungumzia ukatili wa kijinsia kumetajwa kuwa miongoni mwa mambo yanayosababisha kuongezeka vitendo hivyo.

 

10 years ago

Michuzi

Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto

 Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto Nchini, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo, akitoa neno mbele ya washiriki askari Polisi na wadau wengine wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto yaliyofanyika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma,wakati akifunga rasmi mafunzo hayo yaliyofanyika kwa muda wa siku tano.Washiriki wa semina ya mafunzo ya namna ya kushughulikia makosa ya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa watoto wakiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WiLDAF) LAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DSM

Wanaharakati kutoka shirika la WiLDAF wakiwa katika maandalizi ya matembezi ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliayoanzia viwanja vya Mnazi mmoja na kuishia katika Ukumbi wa Karimjee hapo jana.Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam hapo janaMaandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam hapo janaMaandamano ya...

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WiLDAF) LAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DAR

Wanaharakati kutoka shirika la WiLDAF wakiwa katika maandalizi ya matembezi ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliayoanzia viwanja vya Mnazi mmoja na kuishia katika Ukumbi wa Karimjee hapo jana.Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam hapo janaMaandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipokelewa na Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Pengo la usawa wa kijinsia lapungua

Pengo lililopo kati ya wanaume na wanawake linaendelea kuzibika katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni,

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ukatili wa kijinsia ukomeshwe

MASHIRIKA matano yanayojishughulisha na utetezi wa haki za kijinsia kupitia mradi wao wa GEWE II, ambao ni mpango wa kutokomeza ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,sheria za ndege Ujerumani zina dosari?

Shirika la usalama wa safari za ndege Ulaya lilielezea wasi wasi wake kuhusu kasoro za sheria za usafiri wa ndege Ujerumani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani