Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya vifaa vya kielektroniki Samsung yalenga kukuza uchumi wa jiji la Arusha

Mike-and-Nawaz-Swahili

Kampuni ya Samsung inazindua rasmi  duka kubwa na kituo chake cha huduma kwa wateja lililopo barabara ya Sokoine mjini Arusha siku ya leo. Uzinduzi huo utawawezesha wateja wake wote mkoani Arusha kupata huduma stahiki na bidhaa halisi za Samsung. Kituo hiki ni cha kwanza kuzinduliwa mkoani Arusha na kampuni hii yenye idadi kubwa ya watumiaji na vifaa bora vya kielektroniki ulimwenguni.

“Mtazamo wa maisha ya wateja hubadilika kwa kasi kubwa na kuwafanya kuongeza mahitaji ya bidhaa na huduma...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung yazindua Samsung Galaxy Note 4 Tanzania

Image 1

Bw. Mike Seo, Meneja Mtendaji wa Kampuni ya Kielectroniki ya Samsung Tanzania akiwahutubia wageni waalikwa katika uzinduzi rasmi wa simu ya Samsung Galaxy Note 4 uliofanyika katika ukumbi wa  Terrace, Slip way.

Baada ya kusubiriwa miezi kadhaa, Kampuni ya kielektroniki ya  Samsung  Tanzania imeongeza  rasmi mwanafamilia mpya katika simu aina ya Note.  Tukio lililofanyika katika Ukumbi wa Terrace , Slipway ni alama ya uzinduzi rasmi na upatikanaji wa Samsung Galaxy Note  4 katika soko...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA LAFARGE NA HOLCIM ZAUNDA KAMPUNI MOJA YA LAFARGEHOLCIM, ITAKAYOSHUGHULIKA NA VIFAA VYA UJENZI

Kiwanda cha saraji cha Lafarge kilichopo Mbeya. Kiwanda hiki ni maarufu kwa utengenezaji wa saruji, kokoto na zege. Wafanyakazi wa kiwanda cha saruji cha Lafarge kilichopo Mbeya wakiwa kwenye picha ya pamoja. Lafarge ni mdau mkubwa katika bishara ya Saruji, Kokoto na Zege.
Kampuni mbili zinazoongoza katika sekta ya ujenzi hapa nchini, Lafarge S.A. na Holcim Ltd zimekamilisha muungano wao uliosubiriwa kwa muda mrefu na kuunda kampuni moja itakayo fahamika kwa jina la LafargeHolcim.
Vigezo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zantel yalisaidia jiji la Tanga vifaa vya usafi

1

Meneja Mshauri wa Zantel, Charles Jutta akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa vifaa vya usafi kwa  mkoa wa Tanga, kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mheshimiwa Magalula Said Magalula.

2

Mkuu wa Wilaya ya Tanga Abdula Lutavi akiteta jambo na Meneja Mshauri wa Zantel, Charles Jutta (Kushoto) mara baada ya makabidhiano ya vifaa vya usafi baina ya Zantel na jiji la Tanga anayeshudia katikati ni meneja mauzo wa Zantel Tanga.

3

Mkuu wa mkoa wa Tanga Magalula Said...

 

5 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA IRINGA AMEPOKEA VIFAA VYA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA COVID 19 KUTOKA KAMPUNI YA AGORA WOOD PRODUCT



Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidi wa Polisi (ACP), Juma Bwire kulia(kulia) akipokea vifaa vya kujikinga dhidi ya Virusi ya Covid 19 kutoka Kampuni ya Agora Wood Product vyenye thamani Tsh Milioni 6. 5 kuwasaidia askari Polisi kujilinda afya zao. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi)

 

10 years ago

Michuzi

ZANTEL YAKABIDHI VIFAA VYA USAFI KWA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA

 Meneja Mshauri wa Zantel, Charles Jutta akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa vifaa vya usafi kwa  mkoa wa Tanga, kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mheshimiwa Magalula Said Magalula.Mkuu wa Wilaya ya Tanga Abdula Lutavi akiteta jambo na Meneja Mshauri wa Zantel, Charles Jutta(Kushoto) mara baada ya makabidhiano ya vifaa vya usafi baina ya Zantel na jiji la Tanga anayeshudia katikati ni meneja mauzo wa Zantel Tanga. Mkuu wa mkoa wa Tanga Magalula Said...

 

9 years ago

Mwananchi

Mwinyi azindua kampuni ya vifaa vya ujenzi, kilimo

Rais Mstaafu  wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi amezindua kampuni kubwa ya China ya kuuza vifaa vya kilimo na ujenzi, ambapo ameeleza ni hatua kubwa katika safari ya maendeleo inayoshika kasi nchini. Kampuni hiyo ya Avic-Shantui Tanzania Ltd, inatengeneza magari  ya ujenzi yakiwamo matingatinga, makatapila ya kushindilia na kusawazisha udongo na gari maalum la kuchanganya zege.

 

10 years ago

Mwananchi

Tuzo za kampuni 100 bora zilivyoibua vikwazo vya kukua uchumi Tanzania

Miaka 30 baada ya Tanzania kufanya mabadiliko ya kiuchumi kwa kuruhusu uchumi huria unaoshirikisha sekta binafsi, idadi ya kampuni binafsi nazo imeongezeka kwa kasi.

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA QWIHAYA YASAIDIA VIFAA VYA ZAIDI YA MILIONI 10, DC MUFINDI AISHUKURU

 Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda alikabidhi kuunga mkono mapambano dhidi ya virusi vya corona Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri Willium mbele ya mkurugenzi wa Mji wa Mafinga. Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda alikabidhi kuunga mkono mapambano dhidi ya virusi vya corona Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri Willium 
Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda na  Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani