Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL TV ON LINE: NEC YAPOKEA VIFAA VYA UCHAGUZI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

NEC yasambaza vifaa vya uchaguzi

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeanza kusambaza vifaa vyenye thamani ya Sh bil 41.6 kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25.

 

5 years ago

Michuzi

KATAVI YAPOKEA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA


* RC KATAVI  ATOA SAA 48 KWA MCHINA ALIYEKATAA KUNAWA AFIKISHWE MAHAKAMANI.


Serikali Mkoani Katavi imepokea Vifaa tiba kwa ajili ya kuendelea na mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Corona ikiwemo vifaa vinavyotumika kupima joto la mwili ambapo ni miongoni mwa changamoto iliyokuwa ikiukabiri Mkoa huo huku Mkuu wa Mkoa wa Katavi akitoa masaa 48 kwa Jeshi la Polisi kumfikisha Mahakamani Raia wa Kichina aliyekataa kunawa mikono yake maji tiririka.

Akipokea Vifaa hivyo kutoka Water Reed Program...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA ARDHI YAPOKEA VIFAA VYA ZOEZI LA URASIMISHAJI MAKAZI






Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Mipango, Mikakati na Mahusiano wa Kitaasisi za Benki ya Maendeleo ya TIB, Bw. Patrick Mongella (kushoto) wakati Benki ya TIB ilipounga mkono jitihada za Wizara Ardhi za uanzishaji wa masjala za kutunza nakala za hati za umiliki wa ardhi ikiwa sehemu ya zoezi la urasimishaji wa makazi linalofanyika nchi nzima.



Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi akihimiza...

 

5 years ago

Michuzi

MANISPAA YA TEMEKE YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA

 Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam Alhaj Abdallah Chaurembo (wa pili kulia)akipokea msaada wa barakoa, glovu pamoja na Sanitizer  kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya General Petroleum Ltd Hayatulah Khan(wa tatu kushoto) kwa ajili ya kugawa kwa watumishi na watendaji wa manispaa hiyo.Msaada huo umekabidhiwa leo ikiwa ni mkakati wa kampuni hiyo kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano katika kukabiliana na ugonjwa Covid-19  unaosababishwa na virusi vya Corona.
...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA (COVID-19)

WAMJW – Dar es Salaam

Serikali imepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayoambukizwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.

Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa  Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma  na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu waliobainika kuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAPOKEA TANI TATU YA VIFAA KUTOKA CHINA VYA KUKABILIANA NA CORONA

MJW – Dar es Salaam 
Serikali ya Tanzania mepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.

Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa  Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Afya yapokea magari na vifaa vya afya kutoka WHO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo baada ya kupokea msaada wa magari manne na vifaa vya afya  kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akipokea moja ya funguo kati ya magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Magari manne na vifaa vya...

 

9 years ago

Michuzi

NEC:VIFAA VILIVYOKAMATWA SIO BVR, WALA HAVIHUSIANI VYOVYOTE NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima.Siku moja baada ya kunaswa mashine zilizosadikiwa kuwa ni za uandikishaji wapiga kura kwa njia ya kielektroniki (BVR), zilizokuwa zikiandikisha wafanyakazi wa Kiwanda cha MM Steel jijini Dar es Salaam, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeibuka na kueleza kuwa mashine hizo ni 'feki' na wala hazihusiani kwa namna yoyote na vifaa vyao. Jaji mstaafu Damian Lubuva akizungumza na viongozi wa Chadema. Kutoka kulia ni Wakili wa chama hicho, John Malya na Reginald MunisiJaji mstaafu Damian Lubuva akizungumza na viongozi wa Chadema. Kutoka kulia ni Wakili wa chama hicho, John Malya na Reginald...

 

5 years ago

CCM Blog

NEC KUTUMIA VIFAA KINGA VYA CORONA KATIKA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA




Na Richard Mwaikenda


TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imenunua vifaa kinga kujihadhari na Corona wakati  wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili na uwekaji wazi Daftari unaotarajiwa kuanza Aprili 17 mwaka huu.


Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam hivi karibuni.


"Baada ya mashauriano  na wadau wakuu, Tume imeona...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani