MANISPAA YA TEMEKE YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA
Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam Alhaj Abdallah Chaurembo (wa pili kulia)akipokea msaada wa barakoa, glovu pamoja na Sanitizer kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya General Petroleum Ltd Hayatulah Khan(wa tatu kushoto) kwa ajili ya kugawa kwa watumishi na watendaji wa manispaa hiyo.Msaada huo umekabidhiwa leo ikiwa ni mkakati wa kampuni hiyo kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano katika kukabiliana na ugonjwa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona.
...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA (COVID-19)
Serikali imepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayoambukizwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.
Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu waliobainika kuwa...
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA KINGA KUKABILIANA NA CORONA (COVID-19)


Ubalozi wa China nchini Tanzania umeipatia Serikali msaada wa vifaa kinga kwa ajili ya kuendelea kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19 (Corona), na kuahidi kuendelea kushirikian...
5 years ago
Michuzi
KATAVI YAPOKEA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA
* RC KATAVI ATOA SAA 48 KWA MCHINA ALIYEKATAA KUNAWA AFIKISHWE MAHAKAMANI.
Serikali Mkoani Katavi imepokea Vifaa tiba kwa ajili ya kuendelea na mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Corona ikiwemo vifaa vinavyotumika kupima joto la mwili ambapo ni miongoni mwa changamoto iliyokuwa ikiukabiri Mkoa huo huku Mkuu wa Mkoa wa Katavi akitoa masaa 48 kwa Jeshi la Polisi kumfikisha Mahakamani Raia wa Kichina aliyekataa kunawa mikono yake maji tiririka.
Akipokea Vifaa hivyo kutoka Water Reed Program...
5 years ago
CCM Blog
SERIKALI YAPOKEA TANI TATU YA VIFAA KUTOKA CHINA VYA KUKABILIANA NA CORONA

Serikali ya Tanzania mepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.
Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA KUTOKA AFRICAB
Na Said Mwishehe ,Michuzi TV
KATIKA kuendelea kukabiliana na virusi vya Corona nchini, SerikaIi kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imepokea msaada wa matanki 100 kutoka kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya umeme ya AFRICAB maalumu kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi na wanavyuo jijini Dar es Salaam kunawa mikono ili kukabiliana na janga la homa mapato inayosababishwa na virusi vya Corona.
Akipokea na kisha kukabidhi matanki hayo yenye thamani ya Sh. Milioni 50, Waziri wa Elimu...
5 years ago
MichuziAGAPE ACP YATOA MSAADA WA VIFAA KUKABILIANA NA CORONA VIJIJI VYA KATA YA MWAMALA SHINYANGA
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGAPE ACP, John Myola (kushoto) akimkabidhi ndoo ya kunawia mikono Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko. Shirika limetoa msaada wa ndoo 62, sabuni 62 za maji na barakoa 150 kwa ajili ya kusaidia wananchi wa vijiji vya kata ya Mwamala halmashauri ya wilaya ya Shinyanga ili kukabiliana na Maambukizi ya Virusi vya Corona. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
5 years ago
Michuzi
IKUPA ATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU (SHIVYAWATA)


Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (katikati) akimwangalia Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA)...
5 years ago
MichuziSHUWASA YATOA MSAADA WA NDOO 15 ZENYE UJAZO WA LITA 45 KUKABILIANA NA CORONA KATIKA MANISPAA YA SHINYANGA
Mkurugenzi wa SHUWASA Bi. Flaviana Kifizi (kulia) akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Mhe. Jasinta Mboneko (kushoto) ndoo 15 zenye ujazo wa lita 45 kila moja kwa ajili ya kunawia mikono katika maeneo ya huduma za kijamii ili kukabiliana maambukizi ya Virusi vya Corona (Covid -19)
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) imetoa msaada wa ndoo 15 zenye ujazo wa lita 45 kwa ajili ya kutumika kunawia mikono katika maeneo ya...
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA