Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAPOKEA TANI TATU YA VIFAA KUTOKA CHINA VYA KUKABILIANA NA CORONA

MJW – Dar es Salaam 
Serikali ya Tanzania mepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.

Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa  Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA (COVID-19)

WAMJW – Dar es Salaam

Serikali imepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayoambukizwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.

Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa  Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma  na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu waliobainika kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

KATAVI YAPOKEA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA


* RC KATAVI  ATOA SAA 48 KWA MCHINA ALIYEKATAA KUNAWA AFIKISHWE MAHAKAMANI.


Serikali Mkoani Katavi imepokea Vifaa tiba kwa ajili ya kuendelea na mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Corona ikiwemo vifaa vinavyotumika kupima joto la mwili ambapo ni miongoni mwa changamoto iliyokuwa ikiukabiri Mkoa huo huku Mkuu wa Mkoa wa Katavi akitoa masaa 48 kwa Jeshi la Polisi kumfikisha Mahakamani Raia wa Kichina aliyekataa kunawa mikono yake maji tiririka.

Akipokea Vifaa hivyo kutoka Water Reed Program...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA VIFAA KINGA KUKABILIANA NA CORONA (COVID-19)


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke wakitia sahihi makubaliano ya kupokea msaada wa vifaa kinga vya kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa Corona. ********************************Na.WAMJW-Dar es Salaam
Ubalozi wa China nchini Tanzania umeipatia Serikali msaada wa vifaa kinga kwa ajili ya kuendelea kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Covid 19 (Corona), na kuahidi kuendelea kushirikian...

 

5 years ago

Michuzi

MANISPAA YA TEMEKE YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA

 Meya wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam Alhaj Abdallah Chaurembo (wa pili kulia)akipokea msaada wa barakoa, glovu pamoja na Sanitizer  kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya General Petroleum Ltd Hayatulah Khan(wa tatu kushoto) kwa ajili ya kugawa kwa watumishi na watendaji wa manispaa hiyo.Msaada huo umekabidhiwa leo ikiwa ni mkakati wa kampuni hiyo kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano katika kukabiliana na ugonjwa Covid-19  unaosababishwa na virusi vya Corona.
...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yapokea vifaakinga vya shilingi milioni 700/- kutoka serikali ya China

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea msaada wa vifaa kinga vyenye thamani ya Yuan 2,150,00 sawa na shilingi  700,759,268 kutoka Serikali ya China.

Msaada huo umetoleowa leo katika Bohari ya Dawa (Medical Stores Department) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Mabula Mchembe.

Prof. Mchembe amesema kwamba msaada huo umekuja wakati mzuri kwani utawasaidia watumishi wa afya katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUKABILIANA NA CORONA KUTOKA AFRICAB


Na Said Mwishehe ,Michuzi TV

KATIKA kuendelea kukabiliana na virusi vya Corona nchini, SerikaIi kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imepokea msaada wa matanki 100 kutoka kampuni ya utengenezaji wa vifaa vya umeme ya AFRICAB maalumu kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi na wanavyuo jijini Dar es Salaam kunawa mikono ili kukabiliana na janga la homa mapato inayosababishwa na virusi vya Corona.

Akipokea na kisha kukabidhi matanki hayo yenye thamani ya Sh. Milioni 50, Waziri wa Elimu...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: India yakataa vifaa vya kupima virusi hivyo kutoka China

India imesitisha uagizaji wa karibu vifaa nusu milioni vya kupimia virusi vya corona kutoka China baada ya kubainika kuwa vifaa hivyo ''vina dosari''.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YA ZANZIBAR YAPOKEA SH.MILIONI AROBAINI ILI KUKABILIANA NA CORONA

     SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imeendelea kupokea Michango mbali mbali ya Fedha Taslim jumla ya Shilingi Milioni sabini {70,000,000/-} zilizotolewa na Taasisi tofauti Nchini kwa ajili ya kusaidia nguvu za Serikali katika Mapambano yake dhidi ya kupiga vita kuenea kwa Virusi vya Corona Nchini.
Michango hiyo imetolewa na Uongozi wa Benki ya NMB iliyokabidhi Shilingi Milioni 30,000,000/-, Benki ya Maendeleo Vijijini {CRDB} Shilingi Milioni 30,000,000/- pamoja na Uongozi wa Bodi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani