Serikali yapokea vifaakinga vya shilingi milioni 700/- kutoka serikali ya China
![](https://1.bp.blogspot.com/-7GwUaOKoKvs/Xr6aJ0QnzlI/AAAAAAALqWg/VTimD9DfHPwAD8SwWvDMtDYZoXaj4XWXQCLcBGAsYHQ/s72-c/97dcc94a-538e-484e-abbb-f91eb432a7e8.jpg)
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea msaada wa vifaa kinga vyenye thamani ya Yuan 2,150,00 sawa na shilingi 700,759,268 kutoka Serikali ya China.
Msaada huo umetoleowa leo katika Bohari ya Dawa (Medical Stores Department) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Mabula Mchembe.
Prof. Mchembe amesema kwamba msaada huo umekuja wakati mzuri kwani utawasaidia watumishi wa afya katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3DDLNfZ4FIE/Xr-E9irVTFI/AAAAAAALqbo/TGgxZmlraCApvtwOl6ep1lrvUNZDivtDwCLcBGAsYHQ/s72-c/97dcc94a-538e-484e-abbb-f91eb432a7e8.jpg)
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ma7H0Ct_oTA/Xntj9ftZX9I/AAAAAAACJXM/T82VtOxIBn8OuMNkiEV9yUWqm71KJit0ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200325-WA0024.jpg)
SERIKALI YAPOKEA TANI TATU YA VIFAA KUTOKA CHINA VYA KUKABILIANA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ma7H0Ct_oTA/Xntj9ftZX9I/AAAAAAACJXM/T82VtOxIBn8OuMNkiEV9yUWqm71KJit0ACLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200325-WA0024.jpg)
Serikali ya Tanzania mepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.
Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GxNpMVtIVlk/VmAB0YWkzvI/AAAAAAAIJ7A/_UHcjvQ7n6E/s72-c/8.jpg)
TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China
![](http://3.bp.blogspot.com/-GxNpMVtIVlk/VmAB0YWkzvI/AAAAAAAIJ7A/_UHcjvQ7n6E/s640/8.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-W3b2HJc_pzU/VmAB1E7pMVI/AAAAAAAIJ7E/gXjIUTb1Cpg/s640/9.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-qkNwhIt-cDw/VmAB83P42hI/AAAAAAAIJ7Y/3qSesLVbGHM/s640/10.jpg)
5 years ago
MichuziSerikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9
Na WAMJW-Dar es Salaam
Serikali imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ameyasema hayo leo wakati akipokea msaada wa fedha na lita 1,250 za vitakasa mikono ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali za...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zQ6Hwdb0aW8/XqgoD1INhCI/AAAAAAALof0/w5TzFs6pDqow6DNcvBFct8i1RZs-hM-ggCLcBGAsYHQ/s72-c/324.jpg)
SERIKALI YA ZANZIBAR YAPOKEA SH.MILIONI AROBAINI ILI KUKABILIANA NA CORONA
Michango hiyo imetolewa na Uongozi wa Benki ya NMB iliyokabidhi Shilingi Milioni 30,000,000/-, Benki ya Maendeleo Vijijini {CRDB} Shilingi Milioni 30,000,000/- pamoja na Uongozi wa Bodi ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lTjMKSwOXTw/VLj9mTqWTDI/AAAAAAAG9yY/b6B5xmX8muM/s72-c/PIX1.jpg)
Waziri Mukangara apokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Serikali ya China
![](http://3.bp.blogspot.com/-lTjMKSwOXTw/VLj9mTqWTDI/AAAAAAAG9yY/b6B5xmX8muM/s1600/PIX1.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gj8ZN9WOYRI/VD_eFr2DKYI/AAAAAAACRss/EDwLFAF_HQI/s72-c/01%2B(1).jpg)
SERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA ZAIDI YA SH. BILIONI 10 KUTOKA FINLAND
![](http://4.bp.blogspot.com/-gj8ZN9WOYRI/VD_eFr2DKYI/AAAAAAACRss/EDwLFAF_HQI/s1600/01%2B(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-RFtYcx6n_wk/VD_eGVb_wKI/AAAAAAACRs0/AXKAQucroXs/s1600/02.jpg)
11 years ago
Michuzi25 Jul
SERIKALI YAPOKEA MABEHEWA 25 YENYE THAMANI YA SH.BILIONI 4.3 KUTOKA INDIA