TAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka (katikati) akikata utepe pamoja na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga (kushoto) na Mwakilishi wa Balozi wa China nchini Tanzania, wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa kwa kwa mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya China.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaabani Mwinjaka na Balozi wa Zambia nchini Tanzania Judith Kapijimpanga, wakielekea kupanda kwenye treni ya kichwa na mabehewa mapya ya TAZARA.
Moja ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi25 Jul
SERIKALI YAPOKEA MABEHEWA 25 YENYE THAMANI YA SH.BILIONI 4.3 KUTOKA INDIA
5 years ago
Michuzi
Serikali yapokea vifaakinga vya shilingi milioni 700/- kutoka serikali ya China
Msaada huo umetoleowa leo katika Bohari ya Dawa (Medical Stores Department) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Mabula Mchembe.
Prof. Mchembe amesema kwamba msaada huo umekuja wakati mzuri kwani utawasaidia watumishi wa afya katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
CCM Blog
SERIKALI YAPOKEA TANI TATU YA VIFAA KUTOKA CHINA VYA KUKABILIANA NA CORONA

Serikali ya Tanzania mepokea msaada wa vifaa kinga kutoka China kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na mlipuko wa maambukizi ya homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (COVID-19) kutoka taasisi ya Jack Ma na Alibaba.
Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Serikali, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Muhammed Bakari Kambi amesema msaada huo ambao umetolewa na Taasisi ya Jack Ma na Alibaba ni pamoja na mavazi (PPE) 1,000 ya kujikinga wakati wa kuhudumia watu...
10 years ago
Michuzi
JUST IN: TRL YAPOKEA Vichwa vya treni vipya viwili kutoka Afrika Kusini


Vichwa hivi vimetengenezwa kupitia mkataba kati ya TRL na Kampuni ya EMD ya Marekani. Utengenezaji wa vichwa hivi vya treni umefanyika na Kampuni ya DCD ya Afrika Kusini.
Ununuzi...
10 years ago
Vijimambo
TANZANIA YAPOKEA MABEHEWA 22 YA ABIRIA NA 50 YA MIZIGO


Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe amesema kuingia kwa mabehewa hayo ni ishara ya jitihada za serikali katika kuimarisha huduma ya usafiri wa reli ambapo amesema serikali imetumia zaidi ya bilioni 200 katika kuboresha sekta ya reli nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa...
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Tazara yapata injini na mabehewa mapya
10 years ago
Vijimambo
TRL YAPOKEA MABEHEWA 50 YA KUBEBA MAKONTENA, NI MKAKATI WA KUTEKELEZA BRN


