SERIKALI YAPOKEA MABEHEWA 25 YENYE THAMANI YA SH.BILIONI 4.3 KUTOKA INDIA
Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (kulia), akiangalia moja ya mabehewa kati ya mabehewa 25 mapya ya kubebea kokoto yenye thamani ya sh.bilioni 4.3 aliyoyapokea kutoka Kampuni ya M/S Hindusthan Engineering and Industriles Limited ya India Dar es Salaam Leo, kwa ajili ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL). Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TRL, Mhandisi Kipalo Kisamfu. Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (katikati), akifurahia jambo wakati wa kupokea mabehewa hayo. Kushoto...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTAZARA yapokea mabehewa 18 na vichwa 4 kutoka Serikali ya Watu wa China
10 years ago
VijimamboSERIKALI YA TANZANIA YAPOKEA ZAIDI YA SH. BILIONI 10 KUTOKA FINLAND
5 years ago
MichuziSERIKALI YAJENGA MAABARA YA KISASA YA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA BINADAMU YA KUAMBUKIZWA YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI TISA MKOANI KILIMANJARO
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imejenga Maabara ya Kisasa ya uchunguzi wa magonjwa ya binadamu ya kuambukiza yenye thamani ya shilingi Bilion tisa katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Maabara hiyo ikiwa inaelekea kukamilika ili kuanza kutoa huduma za uchunguzi wa...
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Wakulima nchini kunufaika na ruzuku ya vocha za pembejeo yenye thamani ya Bilioni 78!
Baaadhi ya wakulima wadogowadogo nchini wakiwa katika shughuli za kila siku za Kilimo kwa kutumia jembe la mkono. (Picha na Maktba yetu).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imetangaza kuanza kutoa vocha za pembejeo ambazo serikali imezipatia ruzuku.
Akizungumza na waandishi wa habari, jijini hapa, Msemaji wa Wizara hiyo, Richard Kasuga amebainisha kuwa, Serikali imetumia shilingi bilioni 78, kwa ajili ya kununua...
9 years ago
Bongo515 Dec
Picha: Mayweather anunua saa yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 2
Floyd Mayweather amefanya yake tena.. Bondia huyo bingwa wa kuchezea hela, amenunua saa ya kifahari yenye thamani ya dola milioni 1.1 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 2.
Ameinunua saa hiyo kwenye safari yake ya Dubai.
Mwakilishi wake ameiambia TMZ: The watch is roughly $1.1 million. This is just one of his big purchases.”
Saa hiyo ni ya chapa ya Hublot ambayo imezungushiwa almasi.
Inasemekana kuwa Floyd ametumia zaidi ya dola milioni 1.5 katika siku mbili alizokaa Dubai.
Hii ni mara ya...
10 years ago
Bongo506 Jan
Picha: Mayweather aringishia magari yenye thamani tshs bilioni 13 na private jet
10 years ago
Dewji Blog29 May
Mwenge wa Uhuru wazindua magari mapya ya kampuni ya Green Waste Pro Ltd yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.6
Kiongozi wa Wakimbiza Mwenge Kitaifa, Bw. Juma Khatibu Chum akiwa ameshika Mwenge baada ya kufika mtaa wa Kisutu jijini Dar kwenye uzinduzi wa magari mapya ya kuzoa taka katika manispaa ya Ilala yanayomilikiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.(Picha zote na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza jambo mara baada ya Mwenge wa Uhuru kufika eneo la Kisutu jijini Dar kwa ajili ya ufunguzi wa Magari ya kisasa ya kuzoa taka.
Kiongozi wa mbio za...
9 years ago
MichuziTANZANIA YAPOKEA BILIONI 210 KUTOKA JAPANI
10 years ago
VijimamboMWENGE WA UHURU WAZINDUA MAGARI YA UKUSANYAJI TAKA YA KAMPUNI YA GREEN WASTE PRO LTD YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1.6